matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  2. Jimbo la Musoma Vijijini Wananchi Waendelea Kutatua Matatizo ya Elimu Vijijini Mwao

    JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI - WANANCHI WAENDELEA KUTATUA MATATIZO YA ELIMU VIJIJINI MWAO Wananchi ndani ya Vijiji 68 vya Musoma Vijijini wamekua na mwamuko mkubwa sana kushirikiana na Serikali, na Wadau ya Maendeleo, kutatua matatizo mbalimbali yanayowakabili vijijini mwao. Baadhi ya matatizo...
  3. Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  4. Dini si imani, Mimi mkristo nimekubali kuoa ndoa ya kiislamu, ndoa ya kikristo inampa kiburi mwanamke na ni ngumu kusuluhisha matatizo

    Kwa kipindi kirefu nimekuwa nasita kuoa, kwa umri wangu wa miaka 28 nimeona ni wakati sasa niwe na ndoa official, Si mara ya kwanza kufikiria hili jambo, ni tangu nipo 25 nafikiria ila sheria za ndoa za kikristo zilikuwa zikinipa hofu kubwa mno hasa kwa tunayojionea kwa wahanga, Ni lazima...
  5. Naombeni ushauri wenu juu ya mtu mwenye matatizo ya masikio anaweza kufanya shughuli ipi ikiwa ana mtaji wa fedha ?

    Habari zenu, awali leo niliweka maana >> hii << juu ya ndugu yangu ambae ana chang moto za kusikia. Kwa ufupi ni kwamba alizaliwa fresh ila akapata homa akiwa na miaka 9, alipigwa sindano ya kwinini kwa dozi iliyozidi matokeo yake taratibu akaanza kupoteza usikivu mpaka imekuwa ni tatizo kabisa...
  6. Simulizi: Jinsi matatizo yalivonipeleka kwenye kisiwa kilichosahaulika

    Mwanzo “Huyu tumuue kwani bosi amemleta huku lengo lake afe tu”. “Hapana nafikiri kumuua sio jambo jema, kiubinadamu pia huyu ni mwanaume mwenzetu” “Kibarua kitaota nyasi shauri yako,sasa unashauri nini”. “Tumtupe kwenye maji tu akacheze na papa huko” Mabishano hayo niliweza kuyapata vyema...
  7. Papa Francis alazwa Hospitali kutokana na matatizo ya upumuaji

    Taarifa kutoka Vatican zimeeleza kuwa Papa alianza kupata shida ya kupumua na kukimbizwa Hospitali kwaajili ya vipimo lakini Madaktari wameshauri abaki kwa uangalizi zaidi. Kwa mujibuwa taarifa, Papa amelazwa katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha The Gemelli mjini Roma, ambako atahitajika kukaa...
  8. J

    Ezekiel Kamwaga: Taratibu tatizo la Ushoga linakuzwa sana japo lipo mbali sana kati ya matatizo yanayotukabili

    Anaandika Ezekiel Kamwaga: Tuwe makini Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa kwa sababu linagusa hisia za wengi. Hata hivyo, tutapoteza mwelekeo kama tutaanza kuwaona ‘mitume’...
  9. Je, kuna watu walizaliwa ili waje kutatuliwa matatizo yao na watu wengine?

    Ninapotazama majira ya leo kitu nashangaa ni maisha ya mtu mweusi, 90% lengo lake la kuzaliwa ni kuja kuujaza ulimwengu na sio kuendeleza Diunia. Yaani Maisha yetu watu weusi hayana maana! Yaani unasoma, unamaliza unaajiriwa au unajiajiri, unaoa au kuolewa, unajenga nyumba na kununua gari...
  10. Je, tunahitaji divine intervention and miracles kusuluhisha matatizo ya kibinadamu?

    Amani iwe nanyi wana JF Tukiwa katika kipindi cha kwaresma kwa sisi wakristo na ramadhani kwa wenzentu waislamu. Ni vyema kukita tafakari zetu kwenye mambo yenye upako. Hakika mwenye-enzi Mngu ni mwema siku zote, yeye ndiye autujaliae uhai na afya njema kwa wale awapendao na pia anayejua...
  11. J

    MJADALA: Namna makuzi/ malezi yanavyoweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili

    Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika? Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
  12. Mwaka 2050 watu Bilioni 2.5 watakuwa na matatizo ya usikivu

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa watu hao wanatarajiwa kuwa na matatizo ya usikivu wakati Watu Milioni 700 watahitaji tiba ya matatizo ya usikivu. WHO linaeleza kuwa zaidi ya vijana wadogo Bilioni 1 wapo kwenye hatari ya kukumbana na upotevu wa kusikia unaoweza kuepukika. =========...
  13. Matatizo yanayo tusumbua/hukumu

    Ni :- i, Akili ii, Rangi iii, Malezi iv, Historia v, Ujinga
  14. B

    Dodoma: Mavunde afanikisha huduma ya Bure ya wenye matatizo ya macho. Kijana aliyeacha masomo kwa tatizo la kutoona apona, aahidi kumsomesha

    MAVUNDE AFANIKISHA HUDUMA YA BURE YA WENYE MATATIZO YA MACHO, KIJANA ALIYEACHA MASOMO KWA TATIZO LA KUTOONA APONA. AAHIDI KUMSOMESHA. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Lion Club tarehe 24 na 25 waliendesha huduma ya kambi ya macho katika Kituo cha afya...
  15. Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

    Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa...
  16. Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini. SWALI Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia? Karibuni kwa maelezo na majibu yenu...
  17. J

    Katiba mpya itatuletea matatizo haya 3 makubwa kwa nchi yetu

    Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda kupigiwa kura na wajumbe wa chama Akishapitishwa na wajumbe ndio tayari ameshakuwa rais, sababu...
  18. K

    Muungano wetu una changamoto tu, hauna matatizo. Tusitumie hoja dhaifu kuubeza, kuubagaza na kuukejeli

    Wasalamu Kama ilivyo ada, ninapenda kuchukua nafasi na muda huu kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na Uhai. Pia ,ninawapongeza viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais Samia kwa juhudi na jitihada mbalimbali wanazoonesha katika kuongoza nchi yetu kwa kuzingatia maslahi mapana ya...
  19. Kwanini tumekua wa kwanza kulaumu juu ya matatizo yetu kuliko kutafuta suluhisho?

    Wengi wetu tumekua wa kwanza kutafuta lawama kuliko kuangalia suluhisho, hii inatufanya kushindwa kuendelea kwa sababu ya kubaki na kinyongo. Tupambane tuachane na lawama zisizo za msingi.
  20. Ili kumaliza matatizo mashariki ya Congo ni lazima kung'oa utawala wa Kitutsi Rwanda

    Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli. Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa na Kagame Rwanda. Kwa hulka na desturi ya Watutsi ya kugombea kuhodhi wao madaraka ya kisiasa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…