David Mathayo David (born 24 July 1969) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Same West constituency since 2005. He is the current Minister of Livestock and Fisheries Development.
Mathayo 27:5:
Yuda akaenda akajinyonga.
Matendo ya Mitume 1:18:
Akanunua shamba kwa ujira wa uovu, akaanguka kifudikoni, akapasuka katikati, matumbo yake yote yakamwagika.
Paulo alikiri mwenyewe kuwa ni mwongo, na hata alihoji wale waliomwona hivyo, akisema:
“Lakini ikiwa kwa uongo wangu kweli ya Mungu imezidi na kuonekana kwa utukufu wake, kwa nini bado nihesabiwe kama mwenye dhambi?” (Warumi 3:7)
Bila shaka Paulo alijua anachukuliwa kama mwongo, kwa kuwa...
Palikuwa na mfanyabiashara mmoja mashuhuri, mwenye busara na maarifa ya kipekee katika biashara. Siku moja, alipanga safari ya kwenda nchi ya mbali kwa muda usiojulikana. Kabla ya kuondoka, aliwaita watumishi wake wa karibu , watu aliowategemea kwa uaminifu na uwezo wao wa kiutendaji.
Kwa kila...
(Yohana 19:31-33)
Kwa kuwa ilikuwa siku ya maandalizi, Wayahudi hawakutaka miili ibaki msalabani siku ya Sabato, hasa kwa sababu Sabato hiyo ilikuwa siku kuu ya ibada. Hivyo waliomba kwa Pilato miguu ya wale waliokuwa wamesulubiwa ivunjwe na miili iondolewe. Kisha askari wakavunja miguu ya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.