WanaJF,
Wakati tupo siku ya pili ya sensa ambapo baadhi yetu bado tunaendelea kusubiria makarani, tunafurahi viongozi wakuu wametuhakikishia kuwa wote tutafikiwa.
Asante sana viongozi wetu.
Nimesikia mpaka Sasa asilimia 36 ya kaya zimefikiwa ikionyesha kuwa tutafikia lengo hata kabla ya muda...