matokeo

  1. Armageddon: Nuclear Winter - Matokeo ya vita vya nuclear na Mwisho wa mwanadamu kuishi duniani

    Utangulizi Za leo wana JF. Kama kawaida yangu katika kuelisha watanzania ili waweze kuijua kweli. Matishio haya na uvumbuzi wa hizi silaha za maangamizi hayana nia njema katika dunia yetu hii. Leo nitaongelea kuhusu Mabomu ya nuclear na matokeo ya Neclear Winter na mwisho wa binadamu kuishi...
  2. Matokeo ya darasa la Saba, 2024

    Hivi karibuni Baraza la mitihani Tanzania limetoa matokeo ya darasa la Saba na katika taarifa yao ni kwamba, ufaulu umeongezeka. Hilo halikunipa shida isipokuwa waliofutiwa matokeo kwa sababu kuu mbili: 1: Kuibia katika mtihani, hili halikunipa shida sana katika masuala ya mitihani ni kawaida...
  3. Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

    Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka. Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu...
  4. G

    Rapper Lil Durk akamatwa kwa mauaji, ni utamaduni wa ovyo wa marapa weusi kuimba muziki wa kuhamasisha uhalifu na wao kuona fahari kuishi maisha hayo

    Issue yake ya kukamatwa iko hivi, miaka minne ilyopita rapper king von ambaye ni swahiba wa durk aliuawa kwa risasi huko Atlanta akiwa anamletea usela mavi rapper mwenzake wa chicago wa kuitwa quando rondo wakamshoot mwaka 2022 lil durk alituma member wa kundi lake la OTF (Only the family)...
  5. Umoja wa Ulaya: Kuna udanganyifu kwenye matokeo yanayotangazwa na Mamlaka za Uchaguzi Msumbiji

    Umoja wa Ulaya umesema umebaini ukiukwaji wa taratibu wakati wa Kuhesabu Kura na hivyo baadhi ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu yanayotangazwa hayaendani na uhalisia wa Kura zilizopigwa Taarifa ya Waangalizi wa Uchaguzi wa EU imesisitiza Mamlaka za Uchaguzi kufanya mchakato wa kujumlisha Matokeo kwa...
  6. Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  7. M

    Huwezi kufungwa mara 4 mfululizo kwa bahati mbaya, siku mkiukubali ubora wa yanga na kuwaheshimu mtafanikiwa kupata matokeo!

    Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba! Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
  8. U

    Mstaafu Dkt. Kikwete: Amani na Utulivu nchini kwetu ni matokeo ya msingi imara uliowekwa Hayati Mwalimu Nyerere

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema amani na utulivu ambayo nchi nyingi duniani na bara hili wanayaona nchini ni matokeo ya msingi imara ambao umejengwa chini ya uongozi wa Baba Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na kuongeza kuwa ni jukumu la kila Mtanzania kulinda...
  9. G

    Ni wakati Sasa Utumishi waweke hadharani matokeo ya Oral Kama ya written kwa namba za wasailiwa ili kuepusha mianya ya Rushwa na Janja janja

    Ni pongeze Utumishi wa umma Kwa hatua zote za uboreshaji wa Mifumo yao ya usaili na taratibu za kuajiri kwa ujumla Lakini naona ni muda muafuka Sasa kuweka matokea ya Oral hadharani ili kuondoa mianya ya Rushwa na Janja janja Kama wanavyofanya kwa written
  10. Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

    Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora. Tunahusika na ●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera] ●Electric...
  11. F

    Uchambuzi huru: Matokeo yanayotarajiwa kwa CHADEMA kufuatia maandamano ya Jumatatu 23 Septemba 2024.

    Matokeo yanayotarajiwa ya maandamano ya CHADEMA yanategemea muktadha wa kisiasa nchini Tanzania na jinsi serikali itakavyoshughulikia hali hiyo. Hapa kuna baadhi ya matokeo yanayoweza kutokea kwa kuzingatia uchambuzi huu usiofungamana na upande wowote: 1. Kushinikiza Serikali: CHADEMA...
  12. Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

    Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo Najaribu kuiweka clip inagoma...
  13. Venezuela: Mgombea Urais wa Upinzani asema alilazimishwa kusaini matokeo ya Kushindwa dhidi ya Maduro

    VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
  14. T

    Utafiti wangu mdogo wa Matumizi ya Kondom Makazini: Matokeo yake yanatisha...

    Mojawapo ya health education na health promotion stretegies dhidi ya kujikinga na ugonjwa sugu na mkali wa HIV/AIDS ni upatikanaji na utoaji wa elimu ya Kondom Makazini; kwani hawa wafanyakazi wanakaa pamoja mda mrefu almost kila weekdays (5 days) na mara nyingine wanasafiri pamoja na kulala...
  15. Ujumbe Kwa Mbowe: Huwezi Kufanya Yaleyale Siku Zote Ukategemea Matokeo Tofauti.

    Mbowe amejitahidi sana kufanya siasa za kistaarabu siku zote, bila kutambua kuwa ustaarabu unakuwa na maana, na unaweza kuleta matokeo chanya kwa mtu ambaye ni mstaarabu. Kumfanyia ustaarabu mhuni, jambazi, muuaji, ni kupoteza muda, na wala hutapata matokeo unayoyatarajia. CCM ni chama...
  16. A

    Kwa matokeo haya huyu binti aombe kozi gani?

    Kwa heshima Nawaamkia; Huyu ni binti amehitimu form 4... Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo; Kiswahili C Kiingereza C Uraia C History D Biology C Chemistry F Maths F Fasihi D Geography D Karibuni kwa ushauri
  17. Poleni sana watanzania kwa matokeo mliyoyapa jana zidi ya ETHIOPIA

    Sio kitu rahisi kuamini ili ilikuwa ni dua zangu kwenye mkeka wangu. Ambaye mpaka sasa hivi kabakia Algeria naombeni ushauri wa mikeka je ni cashout?
  18. L

    Profesa Kitila Mkumbo: Ushindi wa Dkt Ndugulile ni Matokeo ya Mafanikio Ya Miaka mitatu ya Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  19. Tunashukuru wanataaluma wa Afya kwa majina kuwepo kwenye usaili , mlioitwa mjiandae kwa matokeo ya usaili

    Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu . Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ? Tujiandae kisaikolojia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…