JIUNGE NA CHANNEL HII UPATE PAST PAPERS NA MARKING SCHEMES ZA MIKOA YOTE TZ PAMOJA NA MIFUMO YAKUCHAKATA MATOKEO BURE.
Channel iko hapa
MOCK PAST PAPERS ALL TANZANIA REGIONS
Hakuna ubishi juu ya kiwango kizuri kinachooneshwa na aliyekuwa mchezaji wa Yanga Fistok K,Mayele pale Pyramid mpaka sasa Mayele ni top scorer wa timu kitu ambacho kimewashitua baadhi ya timu kama Kaizer Chiefs kuhitaji kandarasi ya staiker huyo wa Pyramid huku taarifa za awali zinasema kuwa ni...
Suala la kuingiliwa kwa mfumo wa matokeo wa chuo kikuu, kama ilivyodaiwa kutokea katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni jambo la kusikitisha na lenye madhara makubwa kwa uaminifu wa taasisi za elimu. Hili linaweza kudhoofisha uaminifu wa vyuo vikuu na kuathiri vibaya mfumo mzima wa...
Wakuu mko salama?
Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection.
Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni lini zinatoka anijulishe maana kwenye websites za vyuo kama udsm,udom,mzumbe,mucobs na hata saut...
Kuteka, kuua, kupoteza watu na atrocities zote tunazoziona leo ni watu kutaka ku consolidate power na matokeo yake ni haya ya kukiuka haki za binadamu!
Wee mzazi utambue kuwa uwezo wa kumudu maisha ni matokeo ya malezi uliyopitia! Kwanini unataka kumuharibu mtoto wako? Au na wewe ujielewi unataka uzo wako ufanane na wewe?
Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024.
Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
ccm
chadema
halisi
kuelekea 2025
kutoa
matokeomatokeo ya uchaguzi
mitaa
mkuu
picha
serikali
serikali za mitaa
siasa tanzania
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi serikali mitaa
vijiji
Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili.
Sasa kati ya...
habari zenu wazee wa kuweka mizigo
Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali
nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ?
nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania.
Chanzo: Mitandaoni
Timu ya Simba SC...
habari za ujenzi wa taifa?
Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki..
Kasoro alizozitaja kisheria zinaitwa "de minimis non curat lex," ni kasoro ndogo ambazo haziwezi kubatilisha Uchaguzi hata kidogo...
Wakuu,
Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola.
Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo?
Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati!
Mpaka wamejitayarisha na polisi...
Nimekuletea kitabu hichi Cha darasa la saba utakubaliana na mimi shughuli nyingi zinazofanywa na watanzania wengi kwa sasa
Napendekeza somo hili lingeanza kufundishwa wanafunzi wa secondary ingeleta tija sana
Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa 0.10% kutoka Wanafunzi 95,442 (99.30%) mwaka 2023 hadi 102,719 (99.40%) mwaka 2024.
NECTA imesema...
Salaam, naomba kuuliza kwa huyu mwanafunzi aliyemaliza form 6 na matokeo haya, History D Geography C Language S, hivi anaweza kuendelea kusomea chuo cha namna gani na kozi ipi itaendana na hayo masomo?
Natanguliza wingi wa shukrani, usiku mwema wajameni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.