Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.
Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ;
◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali.
◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kwenda uwanjani kupambana ili kupata matokeo.
Yanga haiendi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo.
Mpira ni mchezo wa kugombania...
Hello
Shalom!
Naongea na wakomavu ambao wanahitaji chakula kigumu na si uji tena.
Uhai wa Mkristo uko katika maombi, mkristo ambaye haombi huyo ni mkavu, aidha amekufa kiroho au anakaribia kufa kiroho.
Hivyo ni wajibu wa kila mkristo kuhakikisha mito ya uzima ndani yake haikauki. Na kuifanya...
Nukta yangu naiweka hapa YANGA imekuwa ni moja ya timu tishio barani Afrika kwa sasa hii inatokana na kiwango kikubwa ambacho amekionesha kuanzia Makundi ya Shirikisho mpaka kufikia finali mwaka wa jana 2023,Kiwango hichi kimewashtusha wengi hasa ukiangalia yanga Alimpiga TP Mazembe na Waarabu...
Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri, Katibu Mkuu wa Chadema, JJ. Mnyika, ameunguruma na amezungumza mengi.
Kwa wale ambao bundle sio...
Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo:
"Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya
Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
KENYA: Bunge limepokea Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Makosa ya Uchaguzi wa mwaka 2024 ambao unapendekeza kuwekwa Kifungo cha Miaka 5 jela kwa Maafisa wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) watakaochelewesha kutangaza Matokeo .
Muswada huo unasomeka "Itakuwa ni makosa kwa Wajumbe na...
Na Mwl Udadis, Nyamagana
Kitendo cha serikali chini ya uongozi wa Rais Samia kutenga kiasi cha zaidi ya bilioni 11 kwa ajili ya kuboresha mazingira ya wavuvi moja kwa moja ni kitu cha kihistoria. Hatua hii inaleta matumaini makubwa kwa wavuvi wengi, ikiwemo kanda ya ziwa ambapo zaidi ya wavuvi...
Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga
Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
Tusubiri tu hiyo wiki ijayo tarehe 12 tupangiwe na Mamelodi Sundowns FC katika Robo Fainali ya CAFCL tuje kupigwa 4 kwa 0 kwa Mkapa na tukapigwa Kipigo kitakatifu cha Goli 8 kwao ili Akili zitukae sawa na tujue kuwa hatuna Wachezaji wala Uongozi thabiti.
Nimemaliza.
Mkishaonwa HAMNAZO mtakuwa mnapewa kila sababu na mtakubali because nyie ni HAMNAZO.
Yaani jitu linavuta Oxygen hii ya buree saiv zaidi ya miaka 20 halijawahi ilipia linakuja danganywa kuwa tunapata matokeo mabovu viwanja vya mikoani kwa sababu wachezaji wetu hawako comfortable na viwanja hivi...
Angalieni video ya goli la Wydad vs ASEC, hii ilikuwa live ni FIXED MATCH.
CAF wanapaswa kufuatilia skendo hii na kuchukua hatua kali kwa wahusika
Bahasha zinatembea hadi CAF?
Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako??
Kwenye wateja namaaanisha
Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?
Nasikia kuna Mtu hatoamini leo na huenda Hayati Rais Mstaafu Mzee Mwinyi akasindikizwa na Wengi ama kutoka nchini Botswana au Tanzania. Tafadhali lielewe vizuri neno kuna Mtu hatoamini leo sawa?
Namshauri Kidunda aache ngumi , amekwisha , akiendelea atadhalilisha jeshi letu , na ikibidi astaafishwe kinguvu
Hatuwezi kuendelea kubebwa kibwege namna hii
Kingine ni hiki , wanajeshi kuja na magwanda na mabuti walitaka kumtisha nani ? siku wakija na makombora mtaendelea kunyamaza ? huu ndio...
Utani wa aina hii hausaidii timu yako kufanya vizuri.
Huwezi kuifananisha Horoya na CR BELOUIZDAD hata kidogo. Nadhani hakutarajia kuiona CR BELOUIZDAD ikifungwa goli 4-0 na yanga kutinga robo finali siku hiyohiyo kabla ya mechi moja mkononi. Anaweweseka na kufadhaika, hakulala siku ile.
Ahmed...
Mmeshindaje wanaJF wenzangu?
Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek Machari na Salva Kiir ni mfano wa kuangalia namna ambavyo kiongozi na aliyekuwa makamu wake wanavyoiona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.