Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu.
Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno
https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg
Mtoto alikua kavaa kanga tu...
Jambo wote!
Leo sina mengi ya kusema, ni hivi. Ikiwa kuna jambo lolote akili mwako unajua ukilifanya utapata pesa. Lakini unaona aibu kuwa Watu watakuonaje au utadharaulika. Taikon Master kama mtaalamu wa Mindgame ninakuambia jambo hilohilo ndio litalokupa matokeo yatakayokushangaza.
Maisha ni...
Michuano ya 34 ya Kombe la Mataifa ya Afrika inaendelea nchini Cote d'Ivoire. Kwenye lango la kuingia katika Uwanja wa Olympic wa Abidjan, mji mkuu wa kiuchumi wa Cote d'Ivoire, mashabiki kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wamevalia bendera za nchi zao na kushikilia pembe ya kupuliza wamejaa...
Kuifanya akili igome kukumbuka tulikokuwa tumefika kama nchi, tukasahau masuala ya shida ya umeme, huko kunaitwa ni unyanyasaji wa mfumo ubongo, na anayekataa tusikumbuke ni aidha yeye ndo mchawi wa hii nchi
Na nataka niwaambie wote mliokuwa mkimdhihaki Magufuli, sasa mnaumbuka vibaya sana...
Chris Rock alipigwa kofi na Will Smith huku dunia nzima ikitizama aibu hio.
Ila kabla ya hili tukio Chris alifanya stand up on "Netflix is a joke". Kati ya moja ya jokes alizotoa ni ile ya kusema kwamba anashangaa eti kwa nini watu wanasema eti Mungu hafanyi makosa. Akasema kuwa inakuwaje...
Mbunge Abdulhafar Juma akichangia kwenye miswada ya sheria uchaguzi ametoa pendekezo la kuongeza kipengele cha kutoa elimu namna ya kupokea matokeo.
Akisema, "Kushindwa kwa baadhi ya viongozi katika uchaguzi ndio kunaleta kitahalani katika taifa. Kumbe labda tu kwasababu hawana elimu.
"Nadhani...
Niende tu kwenye mada salamu zenu.
Elimu ya msingi ndio mambo yote, ndio kila kitu hapo hayo mengine ni muendelezo tu wa kumuandaa mtoto kuwa professional ndio maana imeitwa elimu ya msingi.
Sasa kama mtoto hatapata msingi mzuri wa elimu basi huko mbele itakuwa shida kwake.
Nimeona...
Basi enzi zile kuna mitihani ya darasa la saba ikijumuisha shule za Maanga, Sinde, Mwenge, Nzovwe, Ilemi, Muungano na Ruanda nzovwe kulikuwa na wakali wao mwaka 2001.
Stephen Swetala, Ibrahim David, Daudi Mwala, Goodluck Mlwilo, Diligent Mmbaga, Wilson Ngole, Mbawala (wa muungano) na yule jamaa...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...?
Civics D
History D
Geography C
Kiswahili C
English D
Physics F
Chemistry D
Biology C
Mathematics F
Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani...
Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana.
Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta.
Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa.
Soma Pia Matokeo mengine...
Wale wenye watoto waliomaliza kidato Cha NNE 2023 mmejiandaaje kupokea MATOKEO ya watoto wenu hapo kesho saa 5.
Na hapa ndo tutaona jinsi wazazi huwa tunachanganyikiwa kuliko watahiniwa.
Ebu fikiria, kama kafeli utatakiwa uwaze juu ya kumpeleka private school, wakati trh 8 tu mwezi huu mifuko...
Kwema Waheshimiwa!
Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo.
Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa...
Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote.
Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie kuchagua kwa hekima, nipate mchumba mwema, safi na mwaminifu, nifuate zaidi uzuri wa roho kuliko wa uso...
Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’.
Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United ameshinda mechi 68 kati ya 138 lakini hivi karibuni amekuwa akitolewa nje ya...
CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C.
Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa.
Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
Samia chunga sana hii, itakugeuka in the long run! Utafika wakati watatamani urais, uwaziri and the like! waache wanajeshi wakae kambini.
Tabia hujengwa taratibu na baadaye kuwa mazoea.
Shyster politicians kama Chalamila ni wa kudharau!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.