matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siku 182 za vita: Matukio yote ndani miezi 6 ya vita ya Ukraine na Urusi

    Mnamo Februari 24, Urusi ilizindua uvamizi kamili wa Ukraine kutoka Belarusi kuelekea kaskazini, Peninsula ya Crimea iliyoambatanishwa na Urusi kuelekea kusini, na eneo lake la mashariki. Vita hiyo imeua maelfu huku mamilioni ya watu wakiyahama makazi yao na kuharibu miji kadhaa. Haya ndiyo...
  2. Matukio, vituko, shuhuda na taarifa zoezi la sensa!

    Nawasalimia kwa jina la Tanzania. Bila shaka kila mdau anaelewa zoezi la sensa kama aina ya utafiti ilivyo ni nyeti na lina makorokoro mengi hadi ya kiimani. Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kushirikishana kabla, wakati na baada ya zoezi. Binafs niliwai kushiriki utafiti mkubwa kuhusu watu...
  3. Kama uliwahi soma kitabu cha 'Animal Farm' unaweza fananisha matukio karibia yote na mambo yanayofanywa na hii Serikali Yetu

    Habari wana JF, sipendi ongelea sana sana mambo ya siasa, lakini kadri siku zinavyokwenda na mwelekeo wa maisha yetu in general unavyozidi kuyumbishwa, nazidi kujenga parallels na plot nzima ya moja ya vitabu vyangu pendwa, 'Animal Farm' kilichoandikwa na George Orwell. Yaani ni kama uongozi...
  4. Matukio yote muhimu katika maisha ya Augustino Mrema

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha TLP, Augustino Mrema amefariki duninia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu. Mrema (77) aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, amefariki dunia leo Jumapili, Agosti 21, 2022, asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...
  5. Wapelelezi wa Mikoa Watakiwa Kufuatilia kwa Ukaribu Matukio ya Ukatili wa Kijinsia na Watoto

    Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...
  6. Urusi yakiri kuhusu matukio ya hujuma ndani yake

    Kwamba ghala za silaha kuendelea kulipuka lipuka zenyewe ni matukio ya hujuma ndani kwa ndani. Russia has admitted that the detonation of ammunition at a military depot in the Dzhankoy region of Crimea was due to sabotage. Follow DW for the latest. The Russian Defense Ministry on Tuesday said...
  7. Kenya 2022 Hakika hakuna cha kujifunza kutoka katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya

    Nikiwa napitia katika mitandao mbalimbali ya kijamii nchini niliona baadhi ya wanaharakati, wafuasi na viongozi wa vyama vya upinzani wakidai kuwa Tanzania inapaswa kujifunza kutoka uchaguzi Mkuu wa Kenya. Wakidai kuwa uchaguzi huo ni huru na wa haki. Kwa ufuatiliaji nilioufanya katika...
  8. Baada ya Crimea, matukio ya milipuko mingine yaibuka kambi za jeshi Urusi na Belarus

    Nahisi kuna ujumbe unatumwa kwa Putin kwamba popote kambi na kinaweza kikanuka hata sebuleni kwake kiaina bila kombora kutumwa kutoka Ukraina.....kwamba humo humo jeshini kwake wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuliamsha.... Military bases in Russia and Belarus were rocked by an outbreak in fires...
  9. Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaongoza kwa matukio ya ukatili wa wenza

    Tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi. Mikoa iliyotajwa kuathirika zaidi na ukatili ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita wakati iliyotajwa kuwa...
  10. PICHA HIGH QUALITY: Matukio mbalimbali ya Julius Kambarage Nyerere

    Nyerere akiwa ziarani Netherlands in 1985 Nyerere akiwa na Onno Ruding, Waziri wa Fedha wa Uholanzi, 1985 Nyerere akiwa na Rais wa Marekani Jimmy Carter na Mke wa Rais Rosalynn Carter katika Ikulu ya White House, 1977 Nyerere akiwa ziarani Uholanzi mwaka 1965
  11. Matukio ya kuuana, yashauriwa wenza waache kutunza chuki

    Mwanasaikolojia wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Mkoani Dar es Salaam, Zainabu Rashid amezungumzia kuhusu migogoro ya wapendanao wakiwemo wanandoa na wapenzi. Zainabu anasema: "Sababu inaweza kuwa ni mrundikano wa migogoro. Mtu anapolimbikiza matatizo, yale matatizo ni kama kidonda, kile kidonda...
  12. J

    Kati ya uMagufuli na Samia ni upi umejaa wahuni zaidi? Tuorodheshe matukio ya kihuni

    Wafuasi wa Magufuli wanaituhumu serikali ya sasa kuwa ina wahuni, wakiongozwa na yule mtu wao aliyepelekwa Malawi na hashtag yake ya #KataaWahuni Sasa nataka tuende kwa fact na records, mimi nataka waniambie ni uhuni gani umefanyika serikali ya Samia kushinda uhuni wa Serikali ya Magufuli Kwa...
  13. Kamanda Muliro: Matukio ya kikatili kuna tatizo zaidi ya tunavyofikiria, kutegemea sheria haitoshi

    Katika takwimu za matukio ya kikatili kwa baadhi ya watu mfano kubaka, ni tabia ambazo zimekuwa zikijirudiarudia, unakuta akihukumiwa maisha au miaka 30, akiwa jela anafanya tukio kama lilelile kwa mwanaume. “Hapo unafikiri adhabu aliyopewa je, imemsaidia au la! Suala la maadili, kujitambua ni...
  14. Hawa ni watu waliomdhihaki Mungu na kupatwa na shida

    1. JOHN LENNON (MUIMBAJI) Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale...
  15. Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

    Kwema Wakuu! Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya kikatili huko kanda ya ziwa. Haiwezi kuisha siku mbili bila kusikia matukio ya kikatili kutokea...
  16. Kwanini watu wa kanda ya kati na Kanda ziwa Wanamake head lines Kwa matukio ya kipumbavu

    1. Hapo miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 2000 matukio ya vifo vya albino 2. Mauaji holela ya watu huko tarime mara 3. Mauaji ya vikongwe wenye macho mekundu Kwa kisingizio eti ni wachawi shinyanga na mikoa jirani 4. Ukatili wa kijinsia huko,tazama kielelezo hapo chini. 5. Matukio ya ujambazi 6...
  17. Kuongezeka kwa matukio ya UBAKAJI Nchini, tatizo ni nini? Tujadiliane tuokoe taifa letu

    Mimi ni mmoja wa watu ambao wamekuwepo kwenye ulimwengu wa habari kwa muda mrefu, siyo mkongwe lakini nakaribia kwenye Dunia ya wanahabari wakongwe. Moja kati ya nyakati ambazo zimekuwa zikitawaliwa na matukio ya ukatili kwa binadamu hasa ubakaji, ulawiti na udhalilishaji kwa Wanawake na watoto...
  18. Jarida la Reli na matukio toleo la 20

    Unaweza kusoma au kupakua Jarida la Reli na Matukio toleo la 20 lililosheheni Matukio, Habari, Makala, Taarifa za Miradi na Huduma za TRC kupitia kiungo hiki https://trc.co.tz/publications/13
  19. D

    Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  20. Kuongezeka kwa matukio ya wizi mtaani tofauti na awamu iliyopita. Je, chanzo ni nini?

    Kwa maeneo niliyopo, kusemaukweli awamu iliyopita kulikuwa na utulivu kwa kiasi kikubwa. Vijana wengi walihofia kuwekwa ndani na hivyo kujiepusha na matukio ya uhalifu. Wengi wao walijishughulisha kwa bidii kwa kufanya shughuli mbalimbali kama vile biashara ndogondogo (machinga) ufundi na kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…