matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Noel france

    Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  2. Lexus SUV

    Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

    Habari Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama.. 1.Pua kucheza 2.kung'ata ulimi 3.ngozi juu ya jicho kucheza 4.na viungo vinginevyo.. 5... 6... Asante. Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
  3. S

    Wazazi wenye watoto wa kike, tuna cha kujifunza kwenye matukio ya binti wa SAUT-Mwanza na binti wa Buza?

    Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na wale wanajeshi wakiwa nyuma ya nondo wakilia na kusaga meno. 2. Sisi kama wazazi wenye watoto wa...
  4. GENTAMYCINE

    Tafadhali mlio nje ya Tanzania mtatumia Mbinu gani kuangalia katika Simu haya Matukio ya tarehe 3, 4 na lile Kubwa la 'Kufa Jitu' la tarehe 8?

    Ni matukio ambayo GENTAMYCINE sitaki kabisa kuyakosa hasa hasa lile la tarehe 8 August, 2024 litakalokufa Jitu huko.
  5. FRANCIS DA DON

    Matukio ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kuiba watoto, kisha wanapopelekwa polisi kesi inaisha kimya kimya, tueleweje?

    Kuna story zinazagaa zagaa juu ya watu kukamatwa wakiwa kwenye harakati za kutekwa watoto, kuna video moja hapa nimeoiona jamaa wamempiga motocwa petroli, ila nasikia wengine walipelekwa polisi kwa mahojiano, ila polisi hawataoi mrejesho juu ya kinachojiri baada ya mahojiano, tueleweje? Mtaani...
  6. M

    Polisi: Hakuna matukio ya utekaji watoto Mburahati shuleni, taarifa zilizosikika ni uongo na uzushi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la Mburahati zinazodai kuwa Watoto wawili wa Shule ya Msingi Brayson iliyopo Mburahati Wilaya ya Ubungo...
  7. A

    DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  8. Paul Alex

    Vita kuu ya tatu ya dunia imeshaanza, sababu na matukio tukitumia kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya dunia

    Hegemony ndio sababu ya hii vita. US + NATO hawakujua wapi waishie kwenye kuitawala dunia.. Kama wangekua na heshima kidogo kwa Russia na China na North Korea, na Vietnam Basi tusingekuwa na situation tuliyonayo leo. Naomba nianze mada na moja kichwani, Ujerumani ni bomu lisilo la kuamini! Hiyo...
  9. GoldDhahabu

    Nini lengo la viongozi wa dini kufanya sala kwenye matukio ya kitaifa?

    Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala. Hiyo inamaanisha nini? 1. Watawala wanaamini sana katika maombi? Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
  10. Allen Kilewella

    Kuongezeka matukio ya ulawiti Tanzania kunaashiria nini!?

    Kwa Sasa imekuwa ni kawaida kusikika matukio ya watu/watoto wadogo kulawitiwa. Najiuliza kama ni matukio yameongezeka ama utoaji taarifa ndiyo umekuwa mkubwa hivi Sasa!!?? Lakini pia Kuna jambo linaashiriwa Kwa kuongezeka Kwa matukio hayo. Jee ni malezi mabaya au ni Imani za kishirikina ndizo...
  11. M

    SoC04 Serikali isisubiri matukio ndio itoe ajira

    SERIKALI ISISUBIRI MATUKIO NDIO ITOE AJIRA Serikali yetu imekuwa itumia ajira kutuliza matukio ya kisiasa, kiuchumi, au majanga yanayotokea hapa nchini. Ili kuwa na utawala bora Kuna haja ya kuwa na mipango mizuri katika utoaji wa ajira hizi kwa vijana wa nchi hii, leo hii ajira ndio zimekuwa...
  12. uhurumoja

    Matukio makubwa mawili wanasoka tumeyashuhudia Tanzania msimu

    Achana na mbio za kiatu za Fei na Aziz Kila mwanasoka msimu huu ameshuhudia pazia jeusi likifunika soka la tz ambapo nyumba ya vipaji kwa soka la Tanzania ikianguka Kila mtu mtu ukimuuliza atakwambia nimeiona mtibwa sugar ikishuka daraja na Simba ikishika nafasi ya 3 Haya ni matukio makubwa...
  13. Wakuperuzi

    Nanusa harufu ya matukio

    je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao. Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona...
  14. Mkurya mweupe

    Matukio yaliyowahi kutokea katika Maisha halisi ukaamini uwepo wa Mungu

    Ndugu Wana JF, Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi kusumbuliwa sana na ushirikina. Kwa kuwa imani yangu ilikuwa 50 kwa 50, nilikuwa nampeleka mpaka kwa...
  15. G

    Azam TV hawaonyeshi matukio ya sherehe za ubingwa, wamegeuza kiwe kipindi cha kutembeza mic kufanya mahojiano

    Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi. Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
  16. U

    Ushahidi wa orodha ya matukio aliyotabiri Nabii wa Wasabato Hellen G White ambayo kamwe hayakutokea

    Wadau hamjamboni nyote? Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa. Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu. Kama yupo mtu miongoni mwenu...
  17. BARD AI

    Saikolojia: Mtoto wa chini ya miaka 6 anayeshuhudia matukio ya Ukatili ana uwezekano wa kuyafanya akiwa mkubwa

    Leo kuna jambo nimelisikia kutoka kwa Mtaalamu mmoja wa Saikolojia aliyehojiwa na Clouds FM akisema matukio ya Ukatili yamekuwa yakiendelea kutokea kwasababu Watoto wanaoishi katika mazingira hayo wanaharibiwa kisaikolojia na hali hiyo inawafanya kuja kutenda Ukatili pale wanapokuwa wakubwa...
  18. pachawako

    Hivi kweli uhalifu hauna tiba ya kudumu?

    Kuna hili tukio lilitokea capetown, south Africa, dereva wa campuni SASKO alipovamiwa na kuuliwa na kundi la majambazi akiwa nawenzake wawili kwenye gari. Nikirefer ilo tukio ni miongoni mwa matukio mengi yanayo tukumbuka kila kukicha richa ya kua vyombo vya usalama na haki kama TANPOL na...
  19. Miss Zomboko

    Baba, huwa unahudhuria Matukio yanayofanyika Shuleni kwa Mtoto wako au ndio kwa bahati mbaya?

    Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio...
  20. Roving Journalist

    Katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, Waziri wa Mambo ya Ndani akutana na viongozi wa Dini

    Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo maalumu katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, mmomonyoko wa maadili, matumizi ya dawa za...
Back
Top Bottom