mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi lawamani kwa mauaji Arusha - marehemu adaiwa kufariki na pingu mkononi. Mauaji mpaka lini?

    Yaani kwanini Jeshi la Polisi ?? Kijana Johnson Josephat ambaye shughuli yake inaelezwa ni kuuza vyuma chakavu mkazi wa mtaa wa Mulieti amefariki dunia katika mtaa wa Eso ambapo ameifanya kwa miaka 6 bila kupata tatizo lolote lakini amepatwa na umauti kwa kile kinachoelezwa ni mzozano ambao...
  2. Maandamano kupinga mauaji na watu wasiyojulikana yanatakiwa kuwa ya wananchi wote bila kujali dini wala chama cha siasa

    Ndugu watanzania, inchi yetu inapitia kipindi kigumu sana hasa juu la swala la mauwaji hayakubaliki kabisa iwe kwa sbb yoyote ile, mfalme yoyote yule hana mamlaka ya kukatisha uhai wa mtu yoyote yule. Rai yangu watanzania swala la kudai haki kwa njia ya amani ni la kikatiba, mandamano...
  3. Naishauri serikali Kesho isije Ikatumia mabavu, iache CHADEMA wafanye maandamano yao kwa Amani

    Kwema Wakuu! Nimeona nami kwa nafasi yangu hata kama ni ndogo, niishauri serikali kuhusu haya maandamano ya hawa ndugu zetu wa CHADEMA. Hakuna haja ya kutumia mabavu na ubabe kuzuia CHADEMA kuonyesha hisia za Maumivu ya ndugu zao waliouawa na kutekwa. Ni wanachama wenzao. Haitakuwa HAKI...
  4. TUPINGE MNYIKA KUPEWA KESI YA MAUAJI NA UTEKAJI

    Kuna dalili na kila namna J Mnyika kupewa kesi ya mauaji ya mzee Kibao na utekaji. Niliwahi kusema na kurudia kuwa Police wanataka bambikizia kesi CHADEMA .
  5. Marekani inayodhamini mauaji ya wapalestina ukanda wa Gaza balozi wake ndio anatuelekeza nini cha kufanya?

    Marekani ndio mdhamini mkuu wa operesheni chinja chinja inayofanywa na Israel ukanda wa Gaza. Ndio balozi wake anatufundisha jinsi ya kuongoza taifa letu? Dunia haiishiwi maajabu
  6. Kumbe raia kumtuhumu mtu kwa mauaji ni kosa la jinai pia!

    Nilikuwa najua kumtuhumu mtu kwa mauaji au mambo mengine mfano fisadi, jambazi n.k akienda mahakamani ni kesi ya madai tu kumbe inaweza kuwa kosa la jinai pia kama anavyoshitakiwa ExMayor
  7. Mchinjita: Rais Samia atambue Kibao alivyotekwa na kuuawa, inaonesha mauaji yamefikia levo nyingine Nchini

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita akiwa katika Jimbo la Ubungo Jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya chama chake, ametoa kauli akimjibu Rais Samia, kufuatia hotuba aliyoitoa Rais Samia wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi. Kiongozi huyu wa ACT Wazalendo...
  8. Mnyika ashindwa kuripoti polisi wito wa upelelezi wa mauaji ya Ally Mohamed Kibao

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameshindwa kuitikia wito aliopewa na Jeshi la Polisi kufika katika Ofisi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kinondoni kuhojiwa kuhusu mauaji ya aliyekuwa kada wa chama hicho, Ali Kibao. Wito wa polisi ulitolewa Septemba 16, 2024 na Mkuu wa Upelelezi Mkoa...
  9. Rais Samia: Mauaji ya Kibao hayakubaliki. Uchunguzi umeanzishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ali Kibao yaliyosababisha mshtuko na hisia kali nchini. Akizungumza Septemba 17, 2024, kwenye maadhimisho ya...
  10. LHRC: Ongezeko la Matukio ya Mauaji, Utekaji yanaonesha Udhaifu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Taarifa ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ya kulaani mauaji ya watu Watatu wa familia moja huko Dodoma imesema, hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko kubwa la matukio ya kikatili nchini hususani ya mauaji, watu kupotea na kutekwa ambayo yanaongeza hofu kubwa kwa wananchi kwani...
  11. Mauji beach ya Ununio na yale ya Dodoma yanatuma ujumbe gani kwa uongozi?

    Viongozi mlioko kwenye nafasi zenu yanapotokea mauaji ya namna hii kuna ujumbe mnatumiwa ambao kuuelewa inabidi ku na hekima sana na si kua na akili kama za kwenu. Kuna mauaji mengi zaidi haya ripotiwi hasa beach ya Ununio ili kuzuia Taharuki zaidi na unapo ona Polisi wanatokeza na kusema nchi...
  12. Risasi zarindima katika eneo la karibu alipokuwepo Donald Trump, Maafisa usalama wanasema yupo salama

    Mtu mmoja aliyekuwa na silaha amesababisha maafisa wa usalama wa Donald Trump kupiga risasi Hata hivo walinzi maalumu wa Trump walijibizana Kwa Risasi, haijafahamika mpaka Sasa ikiwa Wamemuua Mdunguaji huyo!!. Soma Pia: Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa...
  13. Anayepinga maandamano ya 23/09 anaunga utekaji na mauaji ya raia

    Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia CHADEMA...
  14. Swali kwa Dkt Nchimbi Katibu Mkuu CCM: Hadidu za rejea za Tume ya Kuchunguza Mauaji Holela Ziko Wapi?

    Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
  15. Pre GE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  16. H

    Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
  17. Bashe kaletwa kututoa kwenye reli suala la utekaji na mauaji ya watu wasiyojulika pamoja na kesi ya afande, tusitoke kwenye reli

    Wakuu Salaam, Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo Hapa anajua lazima Watanzania...
  18. Kwa yanayoendelea, picha inaongea

    Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
  19. J

    Mo Dewji: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Ali Mohamed Kibao

    Hakika Dunia nzima inamlilia Ally Mohamed Kibao japo hawamjui. Ogopa sana Machozi ya aina hii Ukurasani X Mo Dewji naye amemlilia sana Ally Mohamed Kibao. Niishie hapo 🐼 ====== Mohamed Dewji ameandika: Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Bw. Ali Kibao. Ninatoa pole kwa...
  20. D

    Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…