mauzo

  1. R-K-O

    Vikontena / vifuko vya kuwekea pesa za mauzo havitoshi ama nafasi inbaki, Naweza kupata wapi vimifuko ama container vya kimo nachohitaji

    Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana muajiriwa na pia ni mfanya biashara Katika biashara yangu huwa napenda sana kuiendesha kwa kuongezea vitu vya darasani, kuna hii system nataka niitumie ya kutenganisha pesa za mauzo mfano ya kwa siku, baada ya siku kadhaa, kwa wanaolipa madeni, kulingana na...
  2. akroatis

    Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)

    Habari, nakuja tena kukutaarifu kua, application ya Stock manager & sales register imefanyiwa marekebisho ya muonekano wake, na kuwa wa mvuto zaidi. (linki ya application kwenye playstore) Lengu kuu la hii application ni kumsaidia mfanya biashara mdogo kuwa na uwezo wa kurekori, na kupata...
  3. sky soldier

    Nawezaje kutumia mifumo ya computer kurahisisha kurekodi mauzo, madeni na kuhesabu mzigo

    Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia. Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia huwa nauzia hapo kwa order kubwa kubwa. kuna mtu wa kazi ndie nimemweka hapo awe anafanya stock...
  4. T

    SoC03 Kufungua Uwezo wa Sekta ya Misitu Tanzania kwa ajili ya Ongezeko la Mauzo ya nje na Mapato

    Tanzania imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za misitu ambazo zina uwezo wa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi. Sekta ya misitu, ikitumiwa na kusimamiwa ipasavyo, inaweza kutumika kama chanzo muhimu cha mauzo ya nje na kuongeza mapato. Kwa kufuata mazoea endelevu, kukuza...
  5. BARD AI

    Apple yaongoza kwa mauzo ya Simu duniani, Samsung yaongoza Afrika

    Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima. Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
  6. Mr. Purpose

    Jinsi ya kuandika Tangazo lako la biashara mtandaoni

    ZINGATIA: Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni. Haya tuangalie njia hizi..... 1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content...
  7. Dr. Zaganza

    Tunahitaji vijana 2 wa kupeleka bidhaa kwa wateja wetu (delivery)

    Kampuni ya usambazaji bidhaa asilia za ngozi na nywele iliyopo Kibaha, maili , tunahitaji vijana kusambaza bidhaa kwa wateja wetu maalum (Delivery) : Jinsia: Yoyote Umri: Miaka 18 -25 Makazi : Kibaha hadi Kibamba Sifa: Awe anajituma Mshahara : Maelewano Piga : 0713-039 875 kwa...
  8. matheiavelini

    Niunganishe na kazi ya mauzo ya kulipwa kwa commission

    Habari! Naitwa Mathei, umri ni miaka 26 ni graduate wa Education &information and Communication technology ( ICT)katika level ya degree. Biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo...
  9. Jiko Koa

    Nahitaji mawakala wa mauzo kwa Mkoa wa Morogoro tu

    Nawahitaji mawakala wa mauzo kwa mkoa wa Morogoro na Wilaya zake zote. Bidhaa Ni JikoKoa, Aina ya majiko ya kisasa yanayopunguza matumizi ya mkaa kwa hadi 70%. Majiko Ni mazuri na yanapendwa Sana. kampuni yetu inauza jiko moja kwa 46,000 tu, ukilinganisha na kampuni zingine wanaouza 120,000...
  10. M

    Tangazo la kazi: Anahitajika Afisa Masoko na Mauzo (marketing & sales) - Mwanza au Dar es Salaam

    Hello! Wana JF. Anahitajika afisa masoko na mauzo kwa ajili ya biashara ya vifaa vya keki na upambaji wa keki. Maombi yapo wazi kwa jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele. Tangazo kamili lipo kwenye attachment.
  11. S

    Msaada wa namba za mauzo watu wa Heineken Arusha

    Wakuu kama mtanisaidia ntashukuru sana.
  12. N

    Kombe la dunia lakuza uchumi wa Tanzania

    Kama tunakumbuka vizuri Rais Samia Suluhu alifanya ziara ya kikazi nchini Qatar na akafanikiwa kudumisha mahusiano mazuri ya kibiashara (Diplomasia ya uchumi) baada ya ziara hiyo Tanzania tumenufaika zaidi katika biashara mbalimbali ikiwemo ya uuzaji nyama katika nchi hiyo ya kiarabu...
  13. S

    Fursa ya uwakala wa mauzo kampuni ya M-GAS

    Baada ya kutangaza nafasi za uakala wa mauzo ya kuuza majiko ya gesi ya kampuni ya M Gas tumepokea simu nyingi kila mmoja akitaka kuijuinga. Tumeona tuweke sawa hapa ili kama hauna kigezo au kuelewa utaratibu usihangaike kupiga simu. SIFA ZA WATU TUNAOHITAJI Mtanzania Umri kuanzia miaka 18...
  14. S

    Wanatafutwa vijana wa mauzo kwenye kampuni ya M-Gas

    Habari, M Gas ni kampuni inayojishughulisha na kuuza gesi ya kupikia majumbani. Kupitia M Gas mteja anapata unafuu wa kununua gesi kidogo kidogo iliyopo ndani ya mtungi kuanzia Sh 1000 na kuendelea kwa mfumo unaofanana na LUKU etc. Mteja anaetaka kujisajili na M Gas (kwa bei iliyopo sasa hivi...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  16. Meneja Wa Makampuni

    Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  17. U

    Nashauri Akili ze Brain apewe asilimia ya mauzo na si hela ya mkupuo kwenye wimbo wa Jugni x Mond

    Diamond amechukua vionjo vya ngoma ya Akili ze Brain inayoitwa Regina, akaenda kuomba kushirikiana na nyota mkubwa India mwenye mashabiki mabilioni na sasa kwa kutumia ubunifu wa Akili ze Brain na ustaa Jugni huko kwenye digital platform pesa zinaingia kila sekunde na ni nyingi zaidi ya matundu...
  18. Mtangoo

    SOFTWARE Adiuta Biz Assistant - Programu ya Usimamizi wa Biashara zako

    Maelezo Kwa Kiswahili Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu. Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za biashara yako kwa kukuwezesha kujua mapato, matumizi, mali na madeni ya biashara yako. Iwe ni...
  19. Sildenafil Citrate

    Jaribio la bunge Uganda kulizima tamasha la 'Nyege Nyege' lapandisha mauzo ya tiketi

    Waandaaji wa tamasha la muziki nchini Uganda la 'Nyege Nyege' wanasema jaribio la bunge la kupiga marufuku tamasha hilo kwa sababu ya wasiwasi kwamba linapotosha maadili limeongeza mauzo ya tiketi. Tamasha hilo karibu na kingo za Mto Nile limevutia takriban watu elfu kumi na mbili, wengi wao...
  20. Poker

    Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

    Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani. Iphone wanasema hiyo rekodi haiwezi vunjwa kwa miaka 100 ijayo na kampuni zote za simu hata zikishirikiana. Congrats 👏...
Back
Top Bottom