“Maisha ni kama mkufu, unachukua kipande hiki na hiki unaviunganisha, kipande kikikataa kiache kitamfaa mtu mwingine...” Mzingile.
Falsafa ya maisha kwa muono wa Kezilahabi, hauna tofauti na wanafalsafa walio wengi, lakini muono wake upo kwenye kujifunza, take that which works for you! Kwa kuwa...