Habarini watu wa nguvu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Eti ng'ombe wa maziwa anaweza akawa anauzwa shilingi ngapi na naweza kumpata wapi (mimi nipo Morogoro), vipi kuhusu uzalishaji wa maziwa, anatoa lita ngapi kwa mkamuo mmoja na Je sehemu gani naweza nikauza maziwa yakaisha kwa haraka...