Watu wengi wanasubiri waugue ndo waanze mazoezi, hiyo ni kosa kubwa sana.
Kwanza ukishaugua mwili utakosa na kuishiwa na nguvu, viungo vitauma yaani kila sehemu ya mwili utakuwa hoi.
Dawa ni moja tu kinga ni bora kuliko tiba, wale wenye matatizo ya pressure, kisukari, pumu, stroke, n.k...