Naipongeza serikali kwa ujenzi wa BRT Phase ya Mbagala kwenda Kariakoo. Shida inakuja pale inapojengwa barabara bila vituo vya daladala wakati wakijua fika kuwa lazima daladala ziwepo.
Angalia shida iliyopo BRT ya kuanzia kimara mpaka inapoishia, barabara haina vituo vya daladala na wakati...