Hello wana JF,
Nawaletea baadhi ya movies/series ambazo si za kutazama na watoto 🔞 yaani ni movie ambazo hazifai kutazama hata na wazazi wako, zingine haifai kutazama hata na wana 🤣🤣🤣msije mkafanyana vibaya huko mi simo.
Kwa pamoja tutaje movie hizo ambazo ni Full vitengo yaani humo...