Habari ndio hiyo wakuu
Russia's Defense Ministry admitted on Nov. 26 that Ukraine had targeted Russian S-400 air defense systems and an airfield in embattled Kursk Oblast with U.S.-made long-range ATACMS missiles over the past three days...
Sijawahi kuelewa kwa nini kuna watu wanasema mungu ni mmoja ila duniani kuna dini nyingi mbalimbali tofauti kila moja ikiwa na maelezo tofauti kabisa kuhusu mungu.
Wakuu,
Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais?
Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama shukrani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mingi ya maendeleo iliyotekelezwa...
Taasisi na Idara mbalimbali Mkoani Arusha zimeendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kupambana na uhalifu ambapo Idara ya maji na Benki ya Crdb wametoa vifaa vya Tehama katika kituo kikuu cha Polisi Arusha.
Akiongea mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo Mkurungenzi wa mamlaka...
SURA YA AROBAINI NA SITA
DESTURI YA KUTAFUTA WACHAWI, NA JINSI YA KUWAADHIBU
Hapo zamani mtu akifariki, akiwa mwanamume au mwanamke, wenye ndugu baada ya kumaliza kilio tu huenda sehemu mbali mbali kutafuta ni kisa gani kimemwua yule ndugu yao. Basi safari hiyo hufungwa kwa kuambatana kwa...
MBUNGE NDAISABA RUHORO AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI KATA YA MABAWE, NGARA
MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO Mbunge wa Jimbo la Ngara amehudhuria Mkutano wa hadhara Kata ya Mabawe ulioandaliwa na UMOJA WA VIJANA WA CCM PAMOJA UMOJA WA VIJANA WA BODA BODA Kata ya Mabawe.
Mhe. Ndaisaba Ruhoro...
1. Inadaiwa Wachezaji Aziz K na Kibwana Shomary WALIPIGANA Vyumbani baada ya Mechi kumalizika huku kila Mmoja akimlaumu Mwenzake.
2. Kuna tetesi zinasema Mwanachama Mwandamizi Mmoja mwenye Bifu Kubwa na Boss wa Timu baada ya kunyimwa Fedha zake na Madaraka aliyekuwa akiyataka na sasa Katengwa...
Tulisema. Israel yeye anapiga. Halafu anaacha wenyewe ndo waseme. Yeye ananyamaza kimya. Nashauri tufuate anachosema Ayatollah... Tujitolee wadau tukajiunge naye.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameibana serikali kuhusiana na suala la ajira kwa vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Akizungumza bungeni, leo Oktoba 29, 2024 Dkt. Tulia alisisitiza kuwa vijana hawa wanatoa mchango mkubwa kwa nchi, hivyo ni muhimu kwa serikali kuzingatia...
Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana,
Upambanaji upo na watu wanapambana kufa na kupona ili waondokane na umaskini,
Kwenye upambanaji kuna mambo mengi Sana masaibu...
Habari wakuu,
Tunaelekea kwenye zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa/vijiji ambapo watanzania maeneo mbalimbali nchini watapata fursa ya kuwachagua viongozi ambao wanaamini watawasadia kuleta mabadiliko ya kimaendeleo katika maeneo yao.
Leo tarehe 26/10/2024 mpaka tarehe 1/11/2024 ni zoezi la...
Mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kupunguza /kuokoa gharama zisizo za lazima katika ujenzi.
1)MBADALA WA TANK LA KUHIFADHIA MAJI.
Naanza na hii ,maeneo yetu mengi maji yanatoka kwa mgao wa mara moja kwa juma hivyo utalazimika uhifadhi maji kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi.
Njia hii ni...
Wote tunafahamu kuwa Baking Soda hutumika katika uandaaji wa vyakula kama keki na mikate. Lakini huwa na matumizi mbalimbali ya nyumbani ikiwemo kuwa mbadala wa kusafishia kinywa kwa kuwa na uwezo wa kuua bakteria.
Pia, baking soda ni nzuri kwa kuondoa madoa sugu. Inaweza kuchanganywa na...
Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti.
Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi.
Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
Fuatilia link ya shirika la ResearchLink International kupata usaidizi kwenye mambo mbalimbali ya kitaaluma na hata scholarship application assistance.
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Nlipata wazo lakununua hizi Landcruser double Cabin mbovu hasa hizi za Serikali ama kutoka Mashirika mbalimbali ya Uma... lakini kuagiza garii Mpya kama hii kutoka Japan kweli ntaishia kulipia Kodi bandarini na mtaji wangu utaishia Kwa Mjapan pia...
Nakubaliana na Amiri Jeshi Mkuu, kuhusu umuhimu wa kutafakari matukio kama ya risasi kwa Donald Trump, aliyekuwa Rais wa Marekani. Ikiwa tukio kama hilo lingetokea Afrika, jinsi ambavyo ubalozi na mataifa ya magharibi wangejibu ni swali la kujiuliza.
Hivi karibuni, nguvu kubwa ya polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.