Enyi mliopo kwenye wizara ya utumishi jitahidini mnapopanga mambo yenu mkumbuke hawa vijana wanaoomba ajira bado ni tegemezi kwa wazazi.
Mtoto(Dr) alipangiwa usaili wa kwanza Kibaha mkoa wa Pwani akafaulu,usaili wa pili amepangiwa akanye mkoa wa Mara hivi hamuoni ni kuumiza wazazi?
Yaani...
Moderator nikuombe usiunganishe Uzi huu kwingineko
Wadau hamjamboni?
Tafadhali tupia picha ya moccasin kali ya ukweli, weka Bei zake na sema wapi vinapatikana
Wakuu zangu huwa nataka kufanya Huduma Mbalimbali katika mtandao lakini huwa na kwama hapa...
Pia Napata shaka labda hata kuibiwa kimtandao...Wakuu naombeni Msaada.
Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda.
Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
Habari wana jf tupeane machimbo ya mchele wa bei nzuri ya chini
Hapa mbeya mjini kuanzia 1200 kuendelea
Kwa ubaruku kuanzia 1300 kuendelea
Wewe hapo ulipo bei ikoje.
Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi.
Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
Al Jazeera nao wameanza kutumika? Nashindwa waelewa. Mbona hawa report vizuri hizi taarifa za Mayahudi? Hapa ni kama wanaelezea kwa furaha kupigwa kwa Maarabu.
Ritz Papa anasemaje leo?
Irani inachukua muda mrefu kujipanga walishapandisha bendera Nyekundu wanasubiria nini sasa? Ustaadhi...
Wakuu naomba kujuzwa namna Bora ama mbinu wezeshi Kwa ajili ya kuipata Move katika Telegram App.
Maana Telegram ni mtandao mpana.So hata ikibidi tupeane ma ujuzi.
Na wasilisha Kwa hatua.
Inakera sana yaani wengine tukienda huko katika Mabaa ( tena na Mademu ) ambao tunataka Kuwatongozea huko huwa tunakuwa tayari tumeshakariri Mistari / Maneno yote kiasi kwamba tukiwa hayo maeneo huwa hatutaki disturbance na distraction yoyote kwani itafanya twende Off Point na tuliyoyakariri ili...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Agosti, 2024.
Uapisho huu unahusisha Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Naibu Mawanasheria Mkuu wa Serikali, Wakili Mkuu wa Serikali. Jaji wa Mahakama ya...
Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali?
Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
https://www.youtube.com/watch?v=Ii1HHXakCro
Mkutano wa Kimataifa wa Uwazi na Uwajibikaji (ITAC) ulioanza Agosti 6, 2024 jijini Arusha unaendelea ambapo unajadili kuhusu Matumizi ya Mbinu za Kisasa kwenye Ununuzi wa Umma ili Kudhibiti Rushwa na Ubadhirigu, Kuhuisha Ununuzi wa Kielektroniki, Ubia...
Ratiba ya wiki ya Mwananchi inaonesha kuwa siku ya ijumaa ni siku maalumu ya dua kwaajili ya timu yetu.
Napendekeza kuwa kwakuwa wachezaji, wanachama na mashabiki wa Yanga ni watu wa imani mbalimbali, basi tukio hili liheshimu imani zao kwa kuwa na uwakilishi wa viongozi wa imani mbalimbali...
Baadhi ya Wasanii Waliowahi Kutangaza Kuachana na Muziki
Suma Lee
Msanii huyu aliyetamba na wimbo wake wa "Hakunaga" alitangaza kuachana na muziki 2015 na kuamua kumrudia Mungu. Alisema nyimbo zake zilizobaki studio zisimame na zisitoke tena.
Mzee Yusuf
Alitangaza kuachana na muziki mwaka...
Kampuni ya kutengeneza magari kutoka China Build Your Dream (BYD) wametangaza kua wale wote waliolipia (nunua) supercar yao YangWang U9, wakae mkao wa kula, sio muda zinawafikia.
Kama haitoshi, kila owner ataona expected delivery date aliyopangiwa katika official App ya YangWang na ikitokea...
Je, unayajua Matumizi mengi ya foili ya aluminium tofauti na kufungia au kufunika Vyakula?
Foili ina matumizi mbalimbali kama Ifuatavyo
1. Kunoa Mikasi
- Tumia foili kunoa mikasi iliyopoteza makali.
- Kunja foili mara mbili au tatu na ukate kwa kutumia Mkasi
- Tumia kukata mara kwa mara...
Wakuu,
Kuna kautafiti kadogo nafanya kuhusiana na matumizi ya maji ya kisima yenye chumvi kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani.
Ningependa kujua madhara, kama yapo ya maji hayo katika vipengele vifuatavyo:
1. Kunywa - yana athari zozote kiafya kwa mnywaji? Je, yakichemshwa?
2. Kupikia - yana...
Ona majengo ya shule mbalimbali jinsi zinavyopendeza katika picha na muonekano wa shule tofautitofauti za wasichana kwa wavulana na zile za mchanganyiko pia za serikali na binafsi unaweza ukaangalia ukiona shule unayoijua haipo unaweza ukaweka picha na kuitambulisha ni shule gani na ipo wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.