mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Davidmmarista

    Vijana tuongee kuhusu fursa mbalimbali ikiwemo biashara

    Kumekuwa na watu mbalimbali wenye mitaji yao lakini wameshindwa kujua biashara za kuwekeza vijana karibuni tujuzane fursa mbalimbali za kutuinua kimaisha.
  2. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC Wenzangu tumkataeni Rais wetu Injinia Hersi Said kwani hajatueleza Yanga SC imepata Kiasi gani nje ya Kufurahia Makombe mbalimbali

    Kama vipi nipeni Saini zenu Wote ili tuitishe Kikao cha Kumjadili na Kumtoa na ikiwezekana tumuombe Mo atudhamini.
  3. Mwizukulu mgikuru

    Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  4. I

    Tajiri Bill Gates alivyolea watoto wake ni mfano mzuri wa kuigwa na sisi waafrika wa rika mbalimbali za maisha.

    Ukiangalia namna hawa matajiri wa kizungu wanavyolea watoto wao utagundua ni kwa nini hata hao wazazi wao wanadumu na hizo mali. Na Bill Gates anasema atawapatia watoto wake watatu wakike wawili na wa kiume moja dola milioni 10 tu kila moja ili wachakarike nazo kwani kuwapatia hela nyingi sio...
  5. M

    SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  6. M

    Hello tunatengeneza furniture mbalimbali x

    Hello wanajukwaa niwakaribishe kwetu utapata godoro aina zote pia furniture mbalimbali za kupendezesha nyumba/chumba chako Tuna vitanda Kabati Sofa aina zote Ð
  7. J

    Pre GE2025 Tujifunze mambo muhimu katika chaguzi mbalimbali

    Tunaweza kujifunza mambo kadhaa kutokana na uchaguzi uliofanyika Afrika Kusini na India: Afrika Kusini: 1. Mchakato wa Demokrasia: Uchaguzi wa Afrika Kusini unaonyesha umuhimu wa mchakato wa demokrasia ambapo wananchi wanapata nafasi ya kuchagua viongozi wao kwa njia ya amani na wazi. 2...
  8. Pfizer

    Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali

    WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
  9. Abdul Said Naumanga

    Mikataba mbalimbali (SAMPLES)

    Kutokana na umuhimu na uhitaji wa mikataba katika maisha yetu ya kila siku, nimekusanya mkusanyiko wa sampuli za mikataba zaidi ya 100 zenye lengo la kutoa mwongozo na msingi wa kisheria katika maandalizi ya mikataba mbalimbali. Mkusanyiko huu unajumuisha sampuli za mikataba inayotumika mara...
  10. Jamii Opportunities

    Utumishi watangaza nafasi mbalimbali za kazi

    SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539 24 Mei, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mamlaka za Serikali ya Mtaa (LGA's) anakaribisha maombi ya kazi kutoka...
  11. Jacky collection

    Tunauza vitabu vya fursa za kidigitali na riwaya mbalimbali karibuni

    Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni 👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato 👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number 0684861947 / 0692436124
  12. L

    LWAGAKA BUSINESS CONSULTANT: Tunasajili biashara, majina ya biashara, kampuni, NGO na Taasisi mbalimbali

    Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa: OUR SERVICES 1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000) 2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada) 3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
  13. GENTAMYCINE

    Namfuatilia sana Chid Benz na hasa Interviews zake mbalimbali na nilichoguandua Jamaa ni Genius sema dunia ya Walimwengu imemuwahi tu

    Huwa nikimsikiliza sianzi Kumhukumu kwa Madhaifu yake na yaliyompata ila nakuwa makini sana kusikia kile ambacho anakitoa kutoka katika Kinywa chake na hakika huwa navutiwa mno na Madini yake ambaye unaweza hata usiyapate kutoka kwa PhD Holders, Maprofesa na Wasomi wengine nchini. Kama akitokea...
  14. L

    Madaktari Bingwa wa Rais Samia Waleta Tabasamu Na kuwabubujisha machozi ya Furaha Wagonjwa Mbalimbali Mikoani

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania wa kuwapatia tabasamu, furaha, kicheko na matumaini wagonjwa mbalimbali walioko mikoani .kwa...
  15. Franchesco1346

    SoC04 Mabadiliko yanayoweza kufanyika kwenye nyanja mbalimbali katika miaka 5 hadi 25 ijayo

    Jina langu ni FRANCIS 0742749886 Mabadiliko ni sehemu ya asili ya maisha ya binadamu, na teknolojia, mazingira, jamii, na uchumi vinaendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Katika miaka 5 hadi 25 ijayo, nyanja mbalimbali zitashuhudia mabadiliko makubwa yanayoweza kuathiri jinsi tunavyoishi, kufanya...
  16. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Unadhani vyama vya siasa vibebe kauli mbiu gani tunapoelekea chaguzi chaguzi mbalimbali?

    Vyama vya kisiasa na wanasia, hasa katika nyakati za uchaguzi huibua na kuibuka na catchphrases, slogan au kauli mbiu za kusisimua wanainchi, kuwatambulisha au kuelezea hisia, uelekeo au shauku za uongozi wao na vyama vyao, endapo watapewa ridhaa kuongoza na wanainchi. vyama na wanasiasa...
  17. Rule L

    Uzi maalum wa kushare habari mbalimbali kuhusu ushamba kwenye vitu mbalimbali

    Mimi vitu vya kishamba ambavyo nimewahi kuviona ni kama ifuatavyo. 1. Hii ilikua kipindi Cha redio za cassette msukuma ameweka Kanda na amenyanyua antenna kana kwamba anasikiliza radio stations. 2. Mzee mmoja alipeleka radio kwa fundi ili apate radio taifa (tbc) maana zilikua zinasikika radio...
  18. K

    SoC04 Kuendeleza Tanzania kufikia maono ya kibunifu katika miaka ijayo inahitaji mkakati thabiti na mipango madhubuti katika nyanja mbalimbali

    Elimu: 1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia. 2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu. 3. Miaka 15: Kuanzisha programu za ufundishaji wa stadi za kidijitali ili kuandaa wanafunzi kwa ajira za baadaye. 4. Miaka 25...
  19. D

    Zingatia haya ili uweze kupata au kushinda Tender mbalimbali

    Nyaraka za zabuni (Tender documents) ni mkusanyiko wa nyara-ka zinazoandaliwa na taasisi nunuzi kwa lengo la kuwaalika wazabuni wenye sifa za kushiriki katika mchakato wa zabuni ambapo hatimaye mmojawao hupatikana na kupewa tuzo ya mkataba. Sehemu kubwa ya maelezo yaliyomo kwenye nyaraka za...
  20. M

    Serikali ipeleke bendara ya taifa kwenye ofisi za umma na ofisi za taasisi mbalimbali, na zipandishwe na kushushwa kama ilivokuwa zamani

    Hili ni agizo la mwananchi wa kawaida Kwa serikali. Ni aibu ofisi za mitaa, vijiji, miji mbalimbali nchini kukosa bendera ya taifa huku mkiimba uzalendo mdomoni. Mmeshindwa hadi na mahotel na shule za chekechea wao wanakua na bendera ya taifa ilihali ninyi ofisi zenu hazina bendera. Vituo vya...
Back
Top Bottom