excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,463
- 17,954
Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo..
hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo..
Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili..
Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela..
Badilikeni..