BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,625
- 3,014
Kumbe hata alovela ni hatari maana ni chungu snYeah sure,maana kama hiyo ya typhoid ni chungu mno...msongwa unaitwa
Kumbe hata alovela ni hatari maana ni chungu snYeah sure,maana kama hiyo ya typhoid ni chungu mno...msongwa unaitwa
Nadhani ukinywa nyingi sana..alovera inatibu maradhi mengi sanaKumbe hata alovela ni hatari maana ni chungu sn
Hata maji ya kunywa ni tiba ya maradhi mengi tu na hakuna hatari ya kiafya kwa kunywa tu maji ila hatuoni madaktari kushauri hilo.Hiyo mizizi mpaka ushauriwe ina uthibitisho gani wa kisayansi kuwa ni salama kiafya?
Hapo umewaonea mkuuHata maji ya kunywa ni tiba ya maradhi mengi tu na hakuna hatari ya kiafya kwa kunywa tu maji ila hatuoni madaktari kushauri hilo.
Kuna magonjwa hayana tiba huko hospitali ila daktari hata akijua tiba mbadala yenye uwezo wa kutibu huo ugonjwa wako hakwambii bora akushuhudie unafariki tu.Sasa kama babu zako walitumia ya nini kwenda hospital na kutaka daktari akuambie utumie miti shamba.
Sijawaonea mkuu ila ndio ukweli.Hapo umewaonea mkuu
Mimi ninacho jua ukipewa dawa lazima usisitiziwe na unywaji maji ya kutosha🤔Sijawaonea mkuu ila ndio ukweli.
Mkuu hizo dawa zengine zimefanyiwa hadi tafiti za kisayansi ikajulikana kuwa ni kweli mmea fulani unasaidia katika ugonjwa fulani na utumie vp na yupi hafai kutumia ila bado hukuti daktari akakwambie utumie hata kama anajua.Walikua na utaalamu wa hizo dawa nyie sasa hivi mnautaalamu gani zaidi ya kuvaa kata kei bwashee?
Yani hapo ni sawa na mimi nauza chai ,halafu wewe umekuja kwa dhumuni la kupata chai ,halafu mimi nikushauri uende kwenye kibanda kingine ukanywe uji 🤔Mkuu hizo dawa zengine zimefanyiwa hadi tafiti za kisayansi ikajulikana kuwa ni kweli mmea fulani unasaidia katika ugonjwa fulani na utumie vp na yupi hafai kutumia ila bado hukuti daktari akakwambie utumie hata kama anajua.
Wanawashindilia!!Wanatufanyaje? 🤣🤣🤣
Mimi nazungumzia unywaji wa maji kama tiba kabisa, Dr Batmanghelidj ametibu watu na kufundisha tiba hiyo isiyo na gharama.Mimi ninacho jua ukipewa dawa lazima usisitiziwe na unywaji maji ya kutosha🤔
Ndio maana inasemwa kuwa madaktari ni kama mawakala wa viwanda vya madawa.Yani hapo ni sawa na mimi nauza chai ,halafu wewe umekuja kwa dhumuni la kupata chai ,halafu mimi nikushauri uende kwenye kibanda kingine ukanywe uji 🤔
Hii kitu ya figo inaniboa ajabu. Kwani hakuna vipimo vya kujua figo zako zipoje unapotumia hizi dawa za kienyeji? Kipimo cha Creatinine kwa gharama ya juu ni Shs 16,000 hapo LancetHivi kesi za figo enzi hizo za mababu zilikuwa kiasi gani
Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo..
hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo..
Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili..
Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela..
Badilikeni..