Watu wa Hospitalini mbona hamtuambii tiba mbadala za magonjwa mbalimbali?

Watu wa Hospitalini mbona hamtuambii tiba mbadala za magonjwa mbalimbali?

Kwani Dokta ni mganga wa kienyeji ili akwambie habari za mitishamba? Ye anajua modern medicine unamlaumu bure tu, kajulia wapi yeye hayo ya bamia
 
Monetization of your health. Keeping customers come over and over, kwa mtaalamu wa uchumi na marketing anajua how it works.
 
Hutakaa usikie wakikwambia bamia ni dawa ya vidonda vya tumbo..

hutokaa usikie tumia unga wa ubuyu na asali utapona vidonda vya tumbo..

Hawasemi kabisa mzizi flani ukiutafuna unapona tatizo hili..

Nyie kazi zenu kutushindilia madawa ya kizungu ili mpige hela..

Badilikeni..
Naandika na kufuta sijui kwa nini😇
 
Back
Top Bottom