hon daniel killion
Member
- Jun 29, 2024
- 21
- 25
Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR
ES SALAAM, DODOMA, MBEYA,
MWANZA NA ZANZIBAR" ila bado sijafahamu kwa upande wa dar tutafanyia wap n kwenye ajira portal pamejazwa vivyohvyo.
ES SALAAM, DODOMA, MBEYA,
MWANZA NA ZANZIBAR" ila bado sijafahamu kwa upande wa dar tutafanyia wap n kwenye ajira portal pamejazwa vivyohvyo.