Kama picha inavyojionyesha,nimejenga hili banda kwa kutumia mbao mwanzo mwisho,wengine wananiambia ni gejenga banda la chuma,wengine wananiambia nimetumia gharama sana kujenga banda hili maana mbao zimekuwa ghari,wabongo wanakatisha sana tamaa,yani wanaona nina pesa kwa kuwa nimejenga kwa mbao...