Sofa bed inafaa sana pale hali ya uchumi inapokuwa na changamoto na unalazimika kupanga chumba kimoja. Unaamka asubuhi unaangalia vitu vyote unavyomiliki. Kuna kitanda, jiko, ndoo ya kuogea na ndoo ya maji ya kupikia.
Kuna wale wanaosoma mchana anahitaji kuwa na meza ya kusomea na wengine...