mbeya

  1. Natafuta ajira za kibarua, nipo Mbeya

    Habarini wakuu, Naomba kwa anaefahamu sehemu wanatoa vibarua kwa siku Mbeya, iwe ni kiwandani ama kwenye miradi ya ujenzi, barabara n.k naomba anisaidie conection au utaratibu wa namna ya kupata hivyo vibarua nina uhitaji nacho sana nawaomba wakuu kwa waliopo Mbeya.
  2. Jeshi la Polisi Mbeya lahimiza ushirikiano na Wafanyabiashara katika kuzuia uhalifu

    Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati...
  3. Polisi Mbeya wamshikilia Dereva wa Lori kwa kusababisha ajali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva aitwaye Said Rajab [35] mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T.422 AKF/T.303 APW Scania Lori mali ya Amani Uledi wa Moshi baada ya kusababisha ajali iliyopelekea majeruhi watatu. Ajali hiyo imetokea Mei 06...
  4. Mbeya: Mwandishi wa Habari mbaroni kwa kujifanya afisa Usalama wa Taifa

    Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa. Kamanda Senga ameyasema hayo leo Jumapili Mei 05, 2024...
  5. A

    KERO Kelele za Matangazo (PA) zinatutesa wikiendi Asubuhi Jijini Mbeya

    Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala. Hii ni kero na kwa sababu jiji linapokea silimia kadhaa kwenye haya matangazo tunaona hawakemai hili...
  6. M

    Sijui kama nitaingia kwenye ndoa kama wanawake wenyewe ndio hawa

    Wakuu habari za jioni? Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na mimi halafu nilikutana nae kwenye pub moja hivi ni mwanamke mzuri vibaya mnooo. Asee mimi mwenyewe...
  7. Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile wa Mbeya akagua simu za waumini hadharani akiwa madhahabuni

    Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na kuamuru ampatie simu yake, ambapo aliikagua na kukuta meseji ya WhatsApp kutoka kwa binti. Kisha...
  8. DOKEZO Mkurugenzi City Casino Mbeya ambaye ni raia wa kigeni atishia kuua Waandishi wa Habari wanaofuatilia tuhuma za kumfanyia ukatili mke wa mtu

    Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua kwa nguvu mfanyakazi wake wa kike jina linahifadhiwa na kwenda kumfanyia ukatili wa Kijinsia na...
  9. G

    Kengold na Pamba zimepanda ligi kuu, Mbeya kwanza na Biashara kucheza playoff na vibonde wa ligi kuu

    Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao KenGold FC Pamba FC Mbeya Kwanza FC Biashara United FC TMA FC Mbeya City FC...
  10. A

    Natafuta gesti za 5,000 Mbeya

    Jamani mwenye connection za gest za 5000 kwa mbeya anipe, au za bei poa naeza nkakaa.
  11. Submeter za Kisasa. Wakazi wa Mbeya tumewafikia

  12. Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini. Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa...
  13. U

    Wana Mbeya mpo tayari kuburudika na Katarama?

    Wote tunajua kuwa Basi bora duniani ni Scania tu achana na mabati yale kutoka asia mashariki Wanambeya mpo tayari kumpokea mfalme Katarama kwa route zote muhimu to Dar? Kama wanambeya mtasema mpo tayari kumpokea basi atazindua route uko Mkikataa atawaacha na machuma yenu Mkikubali Katarama...
  14. A

    KERO Barabara za Mitaa ya Mbeya Mjini zimeharibika mno, hazipitiki. TARURA fanyieni kazi

    Wakazi wa Mbeya Mjini tunapata shida kubwa kipindi hiki cha mvua, barabara za mitaa zimeharibika sana, miundombinu imekua ni changamoto kubwa, barabara hazipitiki. Maji yanapita barabarani, yaani unakuta barabara imekua kama mto, maji yanapita mengi. Serikali za mitaa hazina msaada, wala...
  15. Patrick Mwalunenge (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mbeya) Atinga Site na Vipimo Kutatua Mgogoro wa Fidia Ujenzi wa Barabara Njia Nne

    PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
  16. Shangwe la Msigwa akirejesha fomu Kanda ya Nyasa latikisa Mbeya

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa . Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa . Ilibidi Jeshi la Polisi lifanye kazi ya ziada kupanga misululu ya wat
  17. Battle: Lilongwe VS Mbeya

    Kulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mby wale wa Lilongwe wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na...
  18. Polisi Mbeya wawapa mahitaji Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto iliyopo Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wamepatiwa mahitaji ya Shuleni na nyumbani kutoka kwa Polisi Kata ya Ilemi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki Mambuye. Akizungumza mara baada ya kukabidhi mahitaji hayo Aprili 19, 2024 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki...
  19. Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

    Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice. Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita Wanyakyusa lakini ukiongea nao unakuta wana asili ya kitusi ni kama mababu zao walikuja siku...
  20. R

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Salaam, shalom!! Mlima kawetele ulioko ITEZI, Uyole, jijini Mbeya umeripotiwa kumeguka na kuziangukia nyumba zaidi ya 20. Chanzo Cha janga Hilo inasemekana ni mvua nyingi zinaonyesha Nchi nzima, zilizoloanisha udongo Kwa kiasi kikubwa. Mwanzoni, iliaminika walioko milimani wako katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…