Habari zenu Wana jukwaa,
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua msiri.
Baadae ya kuwa mtu mzima kKuna namna ninawaona ndugu na watu wa karibu kama watu wenye choyo na wengi hawapendi mtu afanikiwe iwe ni ndoa kazi au biashara.
Sasa ninaomba mnipe mbinu gani nitumie...