Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu?
Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe...