mchepuko

Mtu yeyote (mwanaume au mwanamke) anaekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanandoa!
  1. Nilivyolazimika kuapa ili niweze kuachana na mchepuko

    Lengo la kuchapisha habari hii ni kutahadharishana na kuachana na Michepuko ambayo huleta sintofahamu katika ndoa zetu. Haya mambo sio poa kabisa na tusi yaendekeze hata kidogo. Kabla ya kuanza kupata nyuzi bin nyuzi daah msemo huu alikuwa anapenda Sana kuutumia mtangazaji maarufu Sana Julius...
  2. Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

    Aisee, ilikuwa ndio mwisho wangu wa kuchepuka na kuingia nyumba za wageni kufanya zinaa. Na haitakaa ijurudie tena. Mwaka 2018 nilipata demu mmoja matata sana. Enzi hizo nilikuwa napenda sana toto na sikuwa najali kitu, pesa iliongea na ikanipa kiburi. Huyu mrembo alikuwa ni afisa mikopo...
  3. Mchepuko wa dogo simuelewi

    Dogo ana mchepuko wake amenizoea mpaka mtaani kwao wanajua mi ndiyo namvua chupi. Maana asiponiona anamnunia mpaka bwana wake ambae ni mdogo wangu. Shida imekuja nilimdanganya na ameamini kwamba mpango wangu ni kuoa wake watatu. Kuna siku ukaropoka eti nikitaka ongeza mke ye yupo tu, mi...
  4. Afariki kwa ajali ya gari akimfukuza mchepuko wa mume wake

    Kamanda Kikosi cha Usalama Barabarani cha Shirikisho (FRSC), huko Cross River, Maikano Hassan, amesema mwanamke huyo wa makamo alipata ajali hiyo na kupoteza maisha huko Calabar siku ya Jumapili baada ya kuwa katika ugomvi mzito na mwanamke aliyedaiwa kuwa ni mchepuko wa mume wake. Alisema...
  5. S

    Je, unaifikiria hatma ya Mchepuko kwa maisha ya baadaye?

    Salamu kwenu wa JF wote! Kwako Mwanaume mwenye Mchepuko. Mwanaume una Mchepuko tena ni Single Mother, unamhudumia vizuri kila kitu anapata lakini hutaki afanye kazi yoyote wala Biashara huo ni wivu au ndiyo kupenda sana? Je, unafikiria hatma ya huyo Mchepuko kwa maisha ya baadaye?
  6. Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

    Wiki ilopita Mwanamke wangu alikuwa na ziara ya kikazi mikoani kwa gari ya ofisini kwao na wenzie watatu (jumla 4 na dereva wao) kwenda kukagua hesabu za vituo vyao vilivyopo uko mikoani. Siku ya Jumatano alfajir kanitaarifu Yuko Safarini anarudi. Mida ya jioni kanipigia akinambia wamefika...
  7. Nilivyompiga chini mchepuko mtarajiwa

    Kuna siku nilileta uzi humu, kuhusu mchepuko mpya niliyekutana naye, na akaniomba nimuongezee mtaji ili aweze kujiajiri. Kutokana na mtaji alio uomba ulikuwa mkubwa kiasi fulani; sikuwa mwepesi kutimiza mpaka pale baadhi ya vitu niweze kujiridhisha. Kwanza nilimualika aje kwangu(kubadilishana...
  8. Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  9. K

    Mume kamganda mchepuko miaka takriban 5

    Habari ndugu zangu Nina rafiki yangu kama Pete na kidole, huyu rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauru maranyingi sana kuhusu nda yake mume wa huyu rafiki ajatulia hata kidogo kuna kipindi alikua anabadilisha michepuko lakini ikafikia kipindi akaganda kwa huyo mchepuko huu mwaka wa tano yuko na...
  10. Mwanaume anayemthamini/Mpenda Mchepuko kuliko Mke ni mshamba na anastahili kudharauliwa

    MWANAUME ANAYEMPENDA/MTHAMINI MCHEPUKO KULIKO MKE WAKE NI MSHAMBA NA ANASHTAHILI KUDHARAULIWA. Anaandika, Robert Heriel. Haijalishi Mke anamapungufu gani bado atabaki kuwa Mkeo na ndiye uliyemchagua Kwa hiyari yako. Kama Mwanamke anakusumbua Kwa tabia mbofumbofu ni Akheri umfukuze/mpe talaka...
  11. Mchepuko wangu ambaye ni Wakala wa Mpesa ameninunia

    Jamani nimenuniwa leo. Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money. Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke? Nikatoa maelezo...
  12. Ushauri: Nitumie mbinu gani kuongea na baba aachane na mchepuko wake?

    Wakuu salaam, Mara kadhaa mama amekuwa akimtuhumu mzee kujihusisha kimahusiano na mama fulani ambae ni shemeji yake. Mama amejaribu kufanya jitihada za kuwaachanisha kwa njia ya mazungumzo lakini wamegoma kuachana kabisa. Mara ya mwisho mama kajaribu kumweleza mume wa huyo mchepuko kila kitu...
  13. Liwale: Kijana anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mke wa mtu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha...
  14. Wanandoa tuache unafiki na huu msemo “amelala na mchepuko kwenye kitanda wanacholalia na mkewe/mmewe”

    Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa... Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku ukiitaja hii sentensi hebu iache mara moja unajiaibisha. “amelala/kafumaniwa na mchepuko tena kwenye...
  15. M

    Rafiki yangu amefanya ukatili wa the West, amempiga Sanctions mchepuko wake Kama Putin, anahaha

    Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake. Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
  16. Mchepuko hauchungwi

    Kama hutaki kuwa na msongo wa mawazo, unatakiwa uelewe kuwa mchepuko hauchungwi; muda ule unapokuwa naye ndio muda wa wewe kummiliki na kujivinjari uwezavyo. Ukiondoka eneo la tukio, usimuweke kichwani. Pambana na mambo yako mengine; vinginevyo, utatafuta msongo wa mawazo; na kuwa na magomvi na...
  17. Nina wivu na mchepuko

    Hivi wadau nimejikuta nimekwama kwenye penzi la mchepuko kiasi kwamba nina wivu nae sana. Nina mke na watoto, huyu mchepuko nilianza nae kitambo kidogo miaka ya nyuma na hatukuwa serious kihvyo ila sasa tunakoelekea dah nashindwa hata kuelewa. Huyu mchepuko kakubaliana na hali halisi kuwa mimi...
  18. Mchepuko wangu kashauriwa bora azae kwanza na yeyote atakayepatikana

    Siku ya Jumanne baada ya kufanya ya kufanya. tukiwa tumejipumzisha story za hapa na pale zikiendelea. Tukajikuta tumeingia ktk story za jinsi mara ya kwanza anaajiriwa, Changamoto za alivoenda kuanza kibarua chake Mara ya kwanza kwenye moja ya kampuni za marehemu mzee Mengi. Akawa ananisimulia...
  19. Ushauri: Mke kamalizia kulipa gharama ya kiwanja ambacho mume wake alikuwa anamnunulia mchepuko

    Wakuu MDA SI mrefu nmetoka kupigiwa Simu na rafiki yangu mmoja wa karibu Sana Ni DOKTA hospital moja ya wahindi hapa mjini,Na anamiliki duka moja la dawa za binadamu kubwa Kiasi ambalo suka ilo mkewe ndo muuzaji na msimamizi mkuu wa kila mara. Sasa Jamaa kapigia akinipa taarifa nzito sana khs...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…