Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia.
Leo ni Mara...
Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria.
Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati.
kwa sasa ndani ya miezi...
Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji.
Kocha ampe nafasi zaidi..
FAIR PLAY
(Mchezo wa kirafiki)
Sehemu ya................01
Saa 2:30 Asubuhi, ZAMBE.
Gari aina ya Land cruiser lilikuwa likienda kwa kasi sana katikati ya mji wa Nzambe.
Ndani ya gari hilo walikuwamo watu wanne wote wakiwa wamefunika nyuso zao kwa vitambaa vyeusi.
Katika siti ya nyuma...
Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021.
Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana...
Huu mchezo unachezwa bila hata mavazi maalum ambayo yanaweza zuia mtu usiumie endapo utaanguka, watu kucheza kwa bidii sana crate zinapangwa mtindo wa pyramid au pembe tatu kisha unakuwa unapanda kama unapanda ngazi ili kutokea upande wa pili cha ajabu huwezi vuka bila kuanguka kwani crate...
Huu mchezo unaoitwa Crate Challenge ambao video zake zimeshika kasi katika mitandao ya kijamii hususan Tik Tok na Instagram huenda, kabla haujapoteza umaarufu wake, ukawaacha watu wengi na majeraha makubwa au pengine ulemavu wa kudumu.
Video nyingi nilizopata kuona zinaaashiria mchezo huu...
Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi.
Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
Habari wadau
Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe.
Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
Mapema wiki hii kodi mpya za miamala zimetoka ambapo baadhi ya wananchi tunalalamika zinatunyonya lakin pengine nahisi kuna mchezo tunachezewa.
Ukiangalia muda ambao suala limepitishwa ni kipindi ambacho vyama vya upinzani vinadai Katiba Mpya ambapo Rais akasema wamuache kwanza apambane na...
Habari zenu wana boni. naomba mtaalamu wa mchezo wa drafti atufafanulie/atufundishe copy za mchezo wa drafti kwa mifano ya picha.(majina maarufu ya kopi hizo kwa mujibu wa wikipedia ni hizi):
samba
sumu ya pandu
mabano
goma la kizee
patasi
kata mara mbili
mbuzi kavimba
tege
bana mbavu
chotara...
Inasemekana kuwa, hata paka mpole anaweza kupambana kwa nguvu anaposukumwa kwenye kona. Hilo pia ni sahihi kwa binadamu, kwani hata wale wanaoonekana kuwa ni waoga, wanaweza kushambulia katika njia zisizotegemewa ili kulinda maslahi yao na uhai wao.
Katika miaka kadhaa iliyopita, nchi za...
Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza!
Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team mwenyeji inacheza kwa utaalam, upole, ukimya na iko well composed.
Leo wamejifunga wenyewe baada ya...
Sioni sababu ya mashabiki kulia lia.
Mchezo una matokeo manne, kushinda, kushindwa, kutoshana nguvu ama kuahirishwa kwa mchezo.
Sidhani kama kuna sababu ya kumwajibisha yeyote kwa kilichotokea kwa kuwa nacho ni sehemu ya matokeo wakati wowote mechi inapopangwa!
Habari zenu ndugu zangu
Naomba kushea na nyie jambo hili
Leo nilikuwa Mahakamani kwa ajili ya shughuli zangu nikakutana na mama mmoja anafuatilia mirathi ya mumewe. Katika mazungumzo yetu akanidokeza jambo moja ambalo nimeshangaa sana.
Anasema baada ya shauri la mirathi kuisha alipewa barua...
Kuelekea mchezo wa watani wajadi tarehe 8/5/2021 Na kwakuwa tuna mchezo mwingine muhimu zaidi na timu ya Kaizer chiefs kule Afrika kusini Na kwakuwa timu ya Yanga imekuwa na kawaida ya kucheza rafu nyingi inapokutana na Simba hii ya sasa nashauri watumike wachezaji wale tusio watumia kimataifa...
Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko.
Machi 30, mwaka huu taasisi hiyo ilimkamata Kakoko ili kuhojiwa kuhusu tuhuma...
Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.