mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kocha Matola, Boss wako Pablo na Benchi lenu zima la Ufundi ni kwamba Orlando Pirates FC yenyewe ni ile ya kuanzia dakika ya 70 hadi ya 93 ya Mchezo

    Baada ya kuona hawana cha Kupoteza na Wameshafungwa Orlando Pirates FC waliamua kucheza Mpira wao halisi ( halisia ) ambao waliuanza katika dakika ya 70 hadi ya 93 nikimaamisha ile ya 90 na zile 3 za Nyongeza. Hivyo kwa Mapenzi mema na Klabu ya Simba nawaomba Wahusika Wote katika Benchi la...
  2. Christopher Wallace

    Tutangulize Uzalendo mbele kwenye mchezo wa Simba Vs Orlando Pirates

    naweka silaha chini, kila la heri mnyama mkubwa kesho dhidi ya Orlando Pirates. Mkipata goli 3 itakuwa advantage kubwa sana kuelekea mchezo wa marudiano na hatua muhimu kuelekea robo fainali. Wito kwa sisi mashabiki wa Yanga, tujitunze kuwasapoti watani zetu katika hatua hii muhimu, baada ya...
  3. CK Allan

    Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

    Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR). Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo. Pamoja na kwamba Wanasema saa...
  4. L

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  5. Ghazwat

    VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kuelekea kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAFCC) kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates ambao unatarajiwa kupigwa April 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, waamuzi watatumia msaada wa video (Video Assistant Referee-VAR) ili kuhakikisha maamuzi...
  6. John Haramba

    Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limeamua mchezo wa mwisho wa Hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika katika ya wenyeji Simba dhidi ya Union Sportive Gendarmerie Nationale (US Gendarmerie) kuwa utachezwa saa nne usiku. Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa mchezo wa soka ngazi ya labu...
  7. J

    FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

    Nimetizama mpira kati ya Senegal vs Egypt, licha ya mchezo mzuri ulioonyeshwa na timu zote lakini mashabiki wa Senegal wametia aibu Walikuwa wakiwalenga machoni wachezaji wa Egypt na mwanga mkali wa laser kipindi wanacheza na walipokuwa wakipiga penalti Hili limewaathiri sana wachezaji wa...
  8. FRANCIS DA DON

    Je, huu mchezo wa kuwasha na kuzima switch za umeme kama mtoto anachezea, maana yake nini?

    Tangu waziri wa nishati mpya aingie madarakani, kumeibuka mchezo wa kuwasha na kuzima switch mithili ya mtoto anaecheza na toy. Sababu nyingi sana za kijinga jinga zimetolewa na wahusika, waziri akiwemo. Yalianza mambo ya ‘scheduled maintanance’, baadae wakasema miaka mitano hapakuwa na...
  9. John Haramba

    Cristiano Ronaldo kuukosa mchezo wa Manchester Derby, United wapata presha

    Manchester United inatarajiwa kumkosa mshambuliaji wake mkongwe, Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Manchester City, leo Jumapili Machi 6, 2022 kutokana na kuwa majeruhi. Hizo ni taarifa mbaya kwa United kwa kuwa mchezo huo ni muhimu kwao dhidi ya City ambayo inaonekana kuwa vizuri kuliko...
  10. Buenos Aires

    Mpira ni mchezo wa ajabu sana🤣 ona hapa kilichotokea

    Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣 Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana...
  11. Kurunzi

    Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

    Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
  12. mdukuzi

    Hivi soka inayochezwa Ulaya na hii ya kwetu ni mchezo mmoja au inafanana tu?

    Nitakataa mpaka kesho ukiniambia mechi za ligi yetu ya mpira wa miguu ni mchezo sawa na mpira wa miguu wa wenzetu tunaowaona kwenye Tv zile game za akina Mbappe, Messi na Ronaldo, adhani ni michezo miwili inayofanana tu, kama ilivyo soccer ya ufukweni nk. Mbona hawa wa kwetu wote wanakimbilia...
  13. chinchilla coat

    Kwa maneno haya ya Polepole inamaanisha kifo cha Magufuli kina mchezo mchafu ndani yake?

    Alikuwa akihojiwa na Dar24 na kuulizwa kuhusu minong'ono ya watu kuwa Magufuli huenda hakufariki kwa ugonjwa uliotajwa kweli na kuwa huenda aliuawa Polepole akakwepa kujibu swali hilo na kusema mtu akishakufa yeye hamzungumzii tena (hata Rais wa nchi?) Polepole ambaye alikua moja ya watu wa...
  14. moyo wenye aman i

    Tanzania hatuna waamzi wa mchezo wa mpira?

    Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
  15. Petro E. Mselewa

    Nimeamini, kila zama ina kitabu chake. Leo Polepole ni Musiba 'aliyechangamka'. Siasa si mchezo!

    Alipata kusema Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi kuwa 'kila zama ina kitabu chake'. Nami sasa nimeamini baada ya 'kuweka' tafsiri yangu binafsi kwenye msemo huo uliojaa hekima na busara kubwa. Binafsi nimetafsiri kuwa 'kila awamu ina wake wa 'kutrend''. Yaani...
  16. Mtondoli

    Tujifunze kushukuru! Zitto hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu tangia zamani

    Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
  17. Sky Eclat

    Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

    Faida yake kubwa ni kuwa haina riba, tofauti na mkopo wa benki. Unafundisha nidhamu ya kuweka pesa. Ni watu wengi wanaucheza katika viwango tofauti. Kuna wapika maandazi na vitumbua, au wenye biashara ndogo ndogo, huwekeana kiasi cha kukusanya kila siku, wengi hukusanya faida ya siku. Hii...
  18. Roving Journalist

    Tanzania yafuzu kombe la Dunia mchezo wa soka kwa wenye ulemavu

    Na. John Mapepele Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini. Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa timu ya kwanza miongoni mwa timu nne zinazoingia nusu fainali ya Soka ya Bara la Afrika kwa...
  19. B

    Kesi ya Mbowe: Mchezo wa Paka na Panya kwa Maslahi ya nani?

    Ni mshangao mkubwa haya kutokea kwa upande wa serikali yenye kupaswa kuupata uhalali wake kutokea kwa wananchi wanaoilipa kodi. Ni mshangao mkubwa zaidi kuwa walioko huko serikalini tunaowalipa mishahara na marupurupu wanaweza kufikia kucheza na haki za wananchi kwa kiwango hiki. Kwamba...
  20. S

    Kama Makonda kashitakiwa na Jamuhuri, hapo siamini kama kuna kesi bali nahisi kuna mchezo unafanywa

    Hii habari ya Makonda kushitakiwa tuitazame kwa umakini hass kipindi hiki ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA,.Mh. Mbowe akiwa na kesi isiyoeleweka. Na itakuwa ni utata zaidi iwapo Makonda atashitakiwa na mtu binafsi na si serikali kwa maana ya Jamuhuri. Yaani ushitakiwe na Jamuhuri kwa kesi kama hiyo...
Back
Top Bottom