Mambo vipi WanaJf na wapenzi wa ndondi kwa ujumla. Hoja yangu ni kwamba mchezo wa Ngumi Tanzania au bongo ni wa Kimchongo sana, sioni maendeleo yoyote ya Ngumi zaidi ya kumtumia Mandonga kuuhadaa wapenzi wa Ngumi. Mapambano yenyewe ya Mandonga ndio yanayobeba event nzima ya siku...
Mwaka 1958 Pele alifunga hattrick kwenye nusu fainali na akaja kufunga mawili kwenye fainali.
Siku ya leo rekodi hiyo inaenda kufikiwa na Messi maana atafunga magoli matatu.
Vamos Argentina.
Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia.
Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule...
Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita.
Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
Soka ni mchezo unashabikiwa na kuangaliwa na watu wa rika zote wakiwemo watoto hivyo basi popote linapojitokeza jambo ambalo linaweza kushusha heshima ya mchezo huu ni lazima lipigwe vita kali.
Kuna habari kwamba kocha wa makipa wa timu kubwa hapa nchi amekutwa na mzigo wa madawa ya kulevya...
Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap.
Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
Natamani siku hizi timu mbili ziache kurogana kipigwe kavu kavu tuone kiuhalisia ni nani bora zaidi uwanjani na siyo haya mazingaumbwe wanayotufanyia.
Haya ni baadhi ya mambo nikiyoyaona jana uwanjani;
~ Yanga SC ndiyo walikuwa wa kwanza kuingia uwanjani majira ya saa 3:05, baada tu ya kuingia...
Habari wakuuu.
Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau.
Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini.
Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE ni kweli kesho kutakuwa na mchezo kati ya Simba na Yanga???
Hizi timu
TFF.
Bodi ya ligi.
Hata...
Naomba mnisaidie kipengele cha kutakata katika bao la kete. Shida yangu ni kujua kipengele cha kutakata katika hatua ya kwanza ya mchezo wa bao. Je ikiwa unatakata ukatua kwenye jumba ni lazima kulala au unaruhusiwa kuzoa jumba na kuendelea kutakata ukipenda?
Mi si mchezaji wa bao lakini kuna...
Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni.
Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa...
Mchezo wa UEFA Europa League, Arsenal dhidi ya PSV Eindhoven uliopangwa kuchezwa Septemba 15, 2022 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London umesitishwa.
Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) limesema mchezo huo utapangiwa siku nyingine kutokana na hofu ya ulinzi kuwa mdogo kwa kuwa asilimia kubwa...
Wapendwa, najua mchezo huu vijana wengi sasa hawaufahamu, hivyo katika private project yangu ya AI (Artificial Intelligence) nimeamua kuchagua mchezo wa bao kutengeneza simple game ambalo mchezaji atacheza vs AI. Kwa sasa linapatikana kwenye Android pekee.
Nimechagua mchezo huu ili kuufanya uwe...
Ana ujinga mwingi sana. Masters yake na uzuri basi anaona amemaliza kila kitu. Ana ujeuri na kiburi. Watu tunakaa hapa hatuna amani.
Maana imebidi nimuulize je shem akishindwa kuvumilia akaamua kumpiga chini sisi tutaenda wapi? Au akaamua kumuolea mke mwingine?
Nimemchana sana na kidogo...
Wadau wa michezo hamjamboni nyote?
Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka
Mimi nianze kama ifuatavyo
Hamna Mchezaji hapo!
Hapo tumepigwa!
Unamuwekaje Kapombe Sub!
Huyo kocha hamalizi msimu!
Sasa endelea
Tukuumbuke kushirikiana...
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa.
Pamoja na urafiki wa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.