mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ikitokea TANESCO wameunguza vitu kwa mchezo wa kukata na kurudisha naenda kulalamika wapi?

    Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia. Leo ni Mara...
  2. Kuongeza bei za data, lengo ni kuibana internet isifikie wengi au ni kuota ndoto kwamba wananchi wana pesa za mchezo kununua mabando

    Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria. Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati. kwa sasa ndani ya miezi...
  3. B

    Duncan Nyoni: Mchezaji anayeweza kubadili mchezo

    Nimemfatilia huyu Duncan Nyoni, japo huwa anaingizwa dakika za mwisho lakini kila akiingia anaonekana kubadili mchezo na kuleta uhai katika ushambuliaji. Kocha ampe nafasi zaidi..
  4. H

    Simulizi: Mchezo wa Kirafiki

    FAIR PLAY (Mchezo wa kirafiki) Sehemu ya................01 Saa 2:30 Asubuhi, ZAMBE. Gari aina ya Land cruiser lilikuwa likienda kwa kasi sana katikati ya mji wa Nzambe. Ndani ya gari hilo walikuwamo watu wanne wote wakiwa wamefunika nyuso zao kwa vitambaa vyeusi. Katika siti ya nyuma...
  5. K

    Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

    Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021. Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana...
  6. Crate Challenge: sio mchezo mzuri kwa afya ya mwili

    Huu mchezo unachezwa bila hata mavazi maalum ambayo yanaweza zuia mtu usiumie endapo utaanguka, watu kucheza kwa bidii sana crate zinapangwa mtindo wa pyramid au pembe tatu kisha unakuwa unapanda kama unapanda ngazi ili kutokea upande wa pili cha ajabu huwezi vuka bila kuanguka kwani crate...
  7. Milk Crate Challenge: Mchezo utakaowapa wengi majeraha na ulemavu wa kudumu

    Huu mchezo unaoitwa Crate Challenge ambao video zake zimeshika kasi katika mitandao ya kijamii hususan Tik Tok na Instagram huenda, kabla haujapoteza umaarufu wake, ukawaacha watu wengi na majeraha makubwa au pengine ulemavu wa kudumu. Video nyingi nilizopata kuona zinaaashiria mchezo huu...
  8. M

    Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi. Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
  9. UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

    Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
  10. Kodi mpya za miamala nadhani kuna mchezo tunachezewa

    Mapema wiki hii kodi mpya za miamala zimetoka ambapo baadhi ya wananchi tunalalamika zinatunyonya lakin pengine nahisi kuna mchezo tunachezewa. Ukiangalia muda ambao suala limepitishwa ni kipindi ambacho vyama vya upinzani vinadai Katiba Mpya ambapo Rais akasema wamuache kwanza apambane na...
  11. Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

    Habari zenu wana boni. naomba mtaalamu wa mchezo wa drafti atufafanulie/atufundishe copy za mchezo wa drafti kwa mifano ya picha.(majina maarufu ya kopi hizo kwa mujibu wa wikipedia ni hizi): samba sumu ya pandu mabano goma la kizee patasi kata mara mbili mbuzi kavimba tege bana mbavu chotara...
  12. L

    VIKWAZO: Piga nikupige ni mchezo wa haki

    Inasemekana kuwa, hata paka mpole anaweza kupambana kwa nguvu anaposukumwa kwenye kona. Hilo pia ni sahihi kwa binadamu, kwani hata wale wanaoonekana kuwa ni waoga, wanaweza kushambulia katika njia zisizotegemewa ili kulinda maslahi yao na uhai wao. Katika miaka kadhaa iliyopita, nchi za...
  13. Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza

    Kwa Mchezo wa Leo, Matokeo ni 6-0 dakika ya 40 kipindi cha Kwanza, round ya kwanza! Hali ninavyoiona kuna vilio vingi upande wa timu ya Mpumzishwa! Vijana wanashambulia sana kila kona ila team mwenyeji inacheza kwa utaalam, upole, ukimya na iko well composed. Leo wamejifunga wenyewe baada ya...
  14. H

    Mchezo wa Simba na Yanga kuchezwa tena, Mashabiki kurudishiwa tiketi zao

    Taarifa mpya ya maelekezo toka serikali
  15. Mbona mnalia lia? Kuahirishwa kwa mchezo ni sehemu ya matokeo ya mchezo

    Sioni sababu ya mashabiki kulia lia. Mchezo una matokeo manne, kushinda, kushindwa, kutoshana nguvu ama kuahirishwa kwa mchezo. Sidhani kama kuna sababu ya kumwajibisha yeyote kwa kilichotokea kwa kuwa nacho ni sehemu ya matokeo wakati wowote mechi inapopangwa!
  16. C

    Mchezo mchafu unaofanywa na benki kuwapora wateja pesa zao

    Habari zenu ndugu zangu Naomba kushea na nyie jambo hili Leo nilikuwa Mahakamani kwa ajili ya shughuli zangu nikakutana na mama mmoja anafuatilia mirathi ya mumewe. Katika mazungumzo yetu akanidokeza jambo moja ambalo nimeshangaa sana. Anasema baada ya shauri la mirathi kuisha alipewa barua...
  17. Simba ijipange zaidi mchezo na Kaizer chief

    Kuelekea mchezo wa watani wajadi tarehe 8/5/2021 Na kwakuwa tuna mchezo mwingine muhimu zaidi na timu ya Kaizer chiefs kule Afrika kusini Na kwakuwa timu ya Yanga imekuwa na kawaida ya kucheza rafu nyingi inapokutana na Simba hii ya sasa nashauri watumike wachezaji wale tusio watumia kimataifa...
  18. L

    Marekani inafanya mchezo gani barani Afrika kwa kuitaja China?

    Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
  19. TAKUKURU: Faili la Uchunguzi wa aliyekuwa Mkurugenzi wa TPA lakamilika, imebaki ofisi ya CAG kumaliza mchezo

    Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupamabana na Rushwa (Takukuru) imesema imekamilisha faili la uchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedit Kakoko. Machi 30, mwaka huu taasisi hiyo ilimkamata Kakoko ili kuhojiwa kuhusu tuhuma...
  20. Njombe: Mwanafunzi wa miaka 9 afariki wakati akicheza mchezo wa kujinyonga na wadogo zake

    Mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Ikelu iliyopo Makambako mkoani Njombe, Claud Florence (9) amefariki dunia baada ya kujinyonga akiwa anacheza na wenzake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe, Hamisi Issah amesema mwanafunzi huyo alikwenda shambani na wazazi wake na wadogo zake watatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…