mchezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hii naita 'upende utanunua usipende utanunua'. Mwaka wa kufosi watu hawana mchezo

    😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time. Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu wamebeba mafurushi. Nikamuliza nikaambiwa ni wafanyabiashara na siku ile ilikuwa siku ya gulio au mnada...
  2. Eli Cohen

    Aisee Barcelona msimi huu hawataki mchezo azidi kutembeza vipigo

    Kama mshabiki wa R Madrid roho yangu ipo juu juu
  3. nightwalker

    Andrew Arshavin: Jasusi wa Urusi aliyejificha kwenye mchezo wa soka

    Unamkumbuka Andrew Arshavin?! Wengi wanamkumbuka Andrew Sergeyevich Arshavin, kama winga machachari aliyekiwasha ndani ya klabu ya Arsenal. Lakini duru za kijasusi ulimwenguni zinamtambua kama jasusi kutoka katika Shirika la Ujasusi la Urusi, Federal Security Service (FSB) akitekeleza "mission"...
  4. kavulata

    Tabora United kachukueni pointi zenu 3 kwa Kagoma, mchezo ni batili.

    Kagoma hakupaswa kucheza https://www.youtube.com/watch?v=rCEb85MDopM
  5. Nakimbizwa

    Tucheze mchezo: comment kwa kundeleza sentensi ya juu yako, kwa maneno yasiyozidi matatu

    Nilipokuwa kijana mdogo
  6. trojan92

    JF Chit: Mchezo wa kutafuta mchumba

    Leo mtag unayetamani awe mchumba wako hapa alafu mwambie maneno mazuri. Akikujibu vizuri endelea nae huwezi jua ya Mungu mengi. Tag wengu kadiri uwezavyo. Twende kazi.
  7. Mad Max

    BMW X3 Fourth Generation: Hawa Wajerumani hawataki mchezo aisee!

    Wakali kutoka Munich juzi juzi wamezindua all new BMW X3 generation ya nne, wakiwa wameredesign kuanzia muonekano wa nje na ndani na driving experience. Pichani juu ni generations tatu zilizotangulia, ya kwanza ipo kushoto na ya pili kulia wakati ya tatu ndio iyo katikati. Ikumbukwe BMW...
  8. Bob Manson

    Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na...
  9. Paul dybala

    Nilichogundua marathon yenyewe pia ni mchezo wa kitajiri

    Mungu akinijaalia afya njema mwakani na mimi nitashiriki ...niko hapa viwanja vya farasi naona watu wakiinjoy sana...,nitaanza kujifua rasmi nikimbie km42...nichukue zawadi ya 10mil..
  10. Saad30

    Maisha hayataki mchezo

    Habari wakuu. Asee hii game ya Maisha ni hatari sana, ukifanya hivi maisha yanakwambia achana na hizo mambo. Unajiuliza hivi Mimi nimezaliwa kusindikiza wenzangu katika hii zawadi ya Dunia? Unapiga Moyo konde na kusema Wacha nisonge mbele asee hujafika hatua kadhaa unaskia asee Kuna michango...
  11. Abraham Lincolnn

    Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  12. W

    Kulingana na Kipaji chako Ungeshinda Mchezo gani Olympics?

    Habarini wakuu, Huku Michezo ya Olympics Ikiendelea Jiji Paris- Ufaransa. Michezo mingi ya kizungu lakini sisi tunaona ya ajabu ajabu. Ila na sisi wangetuekea michezo yetu ile ya rede na kushindana kula tungepata sana washindi Unahisi wewe ungeekewa michezo gani ili ushinde? Kwa mfano mimi...
  13. michael masala

    Tetesi: JE? siasa ni mchezo mchafu

    Mchezo huo mchafu unaamua nani awe Rais wa nchi 2. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Makamu wa Rais 3. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri mkuu 4. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Waziri 5. Mchezo huu mchafu unaamua nani awe Mkuu wa majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkuu wa Idara ya...
  14. chiembe

    Pre GE2025 Kisarawe kumekucha, DC. Magoti atangaza yeye sio DC wa "mpeche mpeche", watakaoleta mchezo atawang'oa visogo

    Ni kama vile DC Magoti anaona kama wananchi wanadhani yeye sio DC, lakini kawadhihirishia kwamba yeye sio DC wa Mpeche Mpeche, ni DC wa kimataifa, na kwamba wasidhani kwa umbile yeye ni mtoto, bali ni mtu mzima, na Rais kamteua. N.B: nadhani anaweza kufanya tukio kubwa, pengine baya, ili...
  15. political monger senior

    Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
  16. BLACK MOVEMENT

    Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  17. L

    Wachezaji wanaotemwa Simba wanakimbiliwa vilabu vingine tena vikubwa Africa, huu mchezo wa kuwaroga wachezaji wa Simba lazima ufike mwisho msimu huu

    Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
  18. A

    KERO Madai ya malimbikizo ya madeni ya watumishi ni mchezo wa paka na panya

    Watumishi wa umma tumekua tukiomba nyaraka za madai ya madeni yetu mara kwa mara ila hayafanyiwi kazi. Watumishi wengi wa umma wanaidai serikali malimbikizo ya madai mbalimbali ikiwemo kupanda daraja,likizo ,uhamisho nk lakini mchakato wa kulipwa imekua danganya toto. Serikali kuu imekua na...
  19. dr namugari

    Bondia Hassan Mwakinyo anauharibu mchezo ngumi

    Kila pambno lake anaweka vigisu ninwasi Sasa njama zinatumika kumdidimiza mwakinyo kwa kile kitendo chake Cha kujifanya don care kwa vile ndugu yake anaweza kumkingiwa kifuwaa na naibu waziri wa michezo mh hamis mwinjuma Jana tulikaa had saa Tisa kwenye mabaar na kusababisha mm kupata hasra za...
  20. mdukuzi

    Tunaupenda, ila mpira wa miguu ni mchezo wa kihuni

    Tofauti na basketball kuwa mchezo wa watoto wenye malezi bora na wanaothamini elimu ,soccer,football,kandanda ni mchezo wa kihuni tu bora hata boxing. Kule USA huwezi kucheza ligi kuu ya kikapu kama hujapitia college,hata uwe na kipaji vipi lazima upitie college. ''Yanga waliandikamkataba kwa...
Back
Top Bottom