Wataalam wa mambo... twende kazi....
Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu.
Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika...
Nawaza kuanzisha mashindano ya mchezo wa draft kitaifa. Ni mchezo ambao vijiwe vingi upo na kila kijiwe kina mbabe wake. Na ni mchezo unapendwa na wengi. Swala ni kuandaa proposal nzuri ili ipate na wadhamini pia
Refareee Jesús Gil Manzano amemuonesha kadi nyekundu Mchezaji wa Real Madrid Jude Bellingham kwenye mechi iliyokuwa inachezwa kati ya Real Madrid na Valencia.
Mzozo Huo ulitokea baada ya Refa kumaliza Mchezo wakati mpira Ulikuwa Hewani na baada ya mpira kutua ukatua Nyavuni na Refa kukataa Goli...
Nikiwa mtoto bhana, Nilikuwa napenda sana michezo, moja ya mchezo ni Kuendesha lingi, Kuwinda ndege kwa manati.
Kuna ile Unatengeneza gari la mbao na mipira inakuwa kama spring na unaweka kamba mbele na mti inakata hadi kona, na kukata malapa (Kanda Mbili) kama matairi
Kingine bhana Niliwahi...
Leo tumeshudia maigizo, tume enjoy sana kwa maigizo na tunawapongeza waigizaji kwa kuweza kumeza script ipasavyo, naona lengo la kuuamisha watu wa mpira wa miguu kuwa Freddy na Jobe sio magarasa leo utakuwa umezikwa baada ya watu kuonesha wasiwasi kwa mechi kadhaa tena baada ya kushindwa...
Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
Karibu wamarekani wote weusi wanaiunga mkono Palestina na kulaani mashambulizi ya Israel ndani ya Gaza.
Wamarekani weusi wamekuwa wanaongoza kampeni za kumtaka rasi Biden aizue Israel isiendelee kuleta maafa ndani ya Gaza na wanamuona raisi huyo kama ni sehemu ya washiriki katika maangamizi...
Leo kila Mtanzania anafaraja kwamba baada ya kujitafuta sana leo tumejipata. Siyo kwamba hatuna team ila team inayopelekwa mbele inakosewa.
Kikosi cha leo kuna watu waliwaambia kuna 1.2 bilioni, natambua walisema hivyo hawakumaanisha ila tuwashinikize watekeleze.
Kama waliweza kuahidi fedha...
Moja ya agenda za ajabu ambazo sizielewi katika taifa hili ni kuamini katika mchezo wa soka kama njia pekee ya kututambulisha kimataifa.
Hii agenda imekwisha shindwa mara nyingi hakuna maajabu yoyote yatapatikana katika mchezo wa soka katika nchi yetu.
Tubadili fikra zetu na kuamua kuuweka...
Salaam ndugu zangu,
Kuna hii habari nimekutana nayo kwenye mitandao ya kijamii ikieleza Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amebeti pesa za simba.
Je, ina ukweli?
Hii nchi kubwa aiseeh, sikuwahi elewa kama kuna jamii zinazoogopwa na watu wengine namna hii!
Yani kila mtu anakwambia hapa wamejaa wanguu huwezi ishi hapa kimbia haraka!
Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel...
Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko
---
Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
aibu
chadema
dharau
hanang
kisingizio
kubwa
kuelekea
kuona
kutembelea
kutoa
kutoka
maafa
maeneo
manyara
mateso
mbele
mbowe
mchafu
mchezo
mkuu
mkuu wa nchi
nchi
nonsense
polisi
rambirambi
safari
sana
ubaguzi
uchaguzi
uchaguzi 2025
wagonjwa
wazuiwa
Kituo cha NBA Africa kilichopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu wa Marekani (NBA), kimefungua rasmi Ofisi yake nchini Kenya huko Westlands, Nairobi
Kituo hicho cha kukuza Vipaji katika Mchezo wa Kikapu kitaunga mkono mipango yote ya biashara na maendeleo ya mpira wa Kikapu ya Ligi ya...
Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco
KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
aibu
baada
ccm
dunia
hamas
intelligence
israel
kisiasa
kombe
kombe la dunia
kufuzu
kuhusu
kujipendekeza
maoni
mchezo
mkeka
morocco
mpira
mstaafu
novemba
rasmi
shambulizi
taifa
taifa stars
tanzania
vitu
wangu
yanga
yangu
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini.
Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa.
Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo.
Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu wengi ukiacha mabondia wenyewe, ila ukweli unabaki pale pale kuwa huu mchezo haufai kabisa.
Bahati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.