Mwezi mmoja na nusu ago, tulikuwa na speed nzuri mtu unashusha ma series na movies kibao tu kwa siku. Mimi ilikuwa inanimotisha nachapa kazi sana na sioni shida kutoka usiku saa 2 au 3 bila hata kujaza overtime.
Lakini ghafla kwa sasa mtandao umekuwa wa kawaida sana mwezi wa 3 huu ....yaani...
Hivi karibuni Kuna kundi la watu walikuwa wanapita na kujinadi wanatafuta kununua noti za shilingi 500 Kwa kununua noti Kwa kuanzia na bei ya shilingi 2000 mpaka 20000 Kwa noti Moja.
Na kweli walikuwa wananunua. Lakini Ulibaini Nini Kwa wanunuzi hao?
Baada ya Singida Fountain Gate FC kupoteza mchezo wao wa Ligi ya NBC Premier League wakiwa nyumbani dhidi ya Simba, kupitia mitandao ya kijamii walitoa malalamiko yao wakiituhumu TFF na Ligi ya Bodi kuwapangia refa kwenye michezo wanayokutana na Simba ambaye amekuwa akiibeba timu ya Simba SC...
Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) imemfungia Bondia Hassan Mwakinyo kujihusisha na mchezo wa ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya shilingi milioni 1
Hatua hiyo imekuja kutokana na kugomea pambano lake lililokuwa lifanyike septemba 29.2023, Dar es...
Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) leo tarehe 08/10/2023 limekabidhi vifaa mbalimbali kwa timu mbili za riadha zinazoenda kushiriki mashindano ya Kimataifa Japan na Switzerland.
Timu mojawapo iliyokabidhiwa vifaa ni timu ya riadha ya JWTZ inayokwenda kushiriki mashindano ya Majeshi (CISM)...
Ni kama Simba sc haikwenda kushinda ule mchezo ila makosa ya wachezaji baadhi yakapekekea Simba sc kuondoka na ushindi,.
1. Baleke: Nimeona magoli aliyeshinda huyu jamaa nikama vile amekaidi kitu flani na hayakuusishwa sana na msaada wa wachezaji wengine.
Ni kama timu ilitaka...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi.
Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.
Na. Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Kampuni ya Mchezo wa Kubashiri Nchini Meridianbet, imetangaza kushirikiana na Halopesa katika kampeni ya Jichukulie Maokoto na Halopesa, ushirikiano huo ukiwa na lengo la kumfurahisha Mtumiaji wa Meridianbet na Halopesa wakati wa kufanya malipo.
Hata hivyo...
Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
Kijumbe mkorofi kazi yake ni kuwahadaa wana upatu kuwa leo zamu ya fulani.
Yaani kila memba anaambiwa zamu ya kupokea pesa ni ya fulani na ameshachukua.
Kumbe wote mmezungukwa kajilipa mwenyewe, atajilipa mwenyewe mpaka mambo yamzidie ndipo anaanza kujikongoja kuwalipa wanaupatu wenzake.
Hii...
Anaandika, Robert Heriel
Moja ya mambo yaliyonifanya nisome wakati ni mdogo, na sasa nahangaika kutafuta pesa ni suala la matukio ya misiba. Kwa kweli Taikon niliapa na katika hilo Mungu anajua, na atalisimamia yakuwa mke na watoto wangu kamwe hawataosheshwa masufuria na kutumwa tumwa bila...
Timu zote mbili zimecheza vizuri sana.
1)Ukuta wa Chemalone+Inonga mmh ni balaa. Uyo Malone ana jicho haswa
2)Kwenye kiungo naona nafasi ya Ngoma dhidi ya Mzamiru
3)Mganga wa Baleke anafanya kazi nzuri kumweka benchi Moses Phiri.
3)Chama kwa uwepo wa Onana na kuongezeka kwa Ngoma mmmh...
Kuna hii tabia iliyopo kwenye boxing, huku kwenye boxing watu watakushabikia ukiwa unashinda tu, ukipigwa imekula kwako.
Kwenye boxing shinda hata mapambano 100, ila kaa ukijua siku ukijichanganya ukapigwa basi tegemea kupoteza mashabiki zako zaidi ya 85%. Ukipigwa tena pambano linalofuata basi...
"Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
Kuna mchezo mpya siku hizi kina mama hasa wenye nyumba za kupanga huwa wanawafundisha mabinti kujenga ukaribu na wapangaji wa kiume ili kuingia vyumbani mwao kuangalia tv, kuomba kuwafanyia usafi, kuomba kuingiziwa nyimbo au muvi, n.k. (mbinu kibao) sambamba na kuwafunza mitego ya kuwazuzua...
Ukitaka kuwa tajiri let say ukiwa mfanyakazi lazima uibe sana kama wafanyavyo TRA hasa wa firodha na wafanyakazi wa bandari.
Ukiwa dada lazima uliwe sana au uwategeshee Mimba matajiri ili watunze mtoto na wewe.
Ukiwa mbunge au mwanasiasa lazima uue albino sana kama anavyofanya musukuma na...
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani Patrick Ryder hivi majuzi alisema imethibitishwa kuwa puto lililogunduliwa miezi minne iliyopita "halikukusanya taarifa za kijasusi wakati wa safari yake kwenye anga za Marekani." Mara tu taarifa hii kutolewa, vyombo vya habari vya Marekani vilijitokeza...
Kwa mara nyengine raisi wa Ukraine Volodymr Zelensky amekiri kuwa vita vya kukomboa maeneo yaliyotekwa vimekwenda kombo na kwamba havijaenda kama ilivyotarajiwa.
Kuna watu wanadhani vita ni kama mchezo wa Hollywood na wanataka yapatikane mafanikio haraka.
Moja ya sababu alizosema zimepelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.