mdee

Vanessa Hau Mdee (born 7 June 1988 in Arusha, Tanzania), is a Tanzanian singer, songwriter, rapper, youth activist, television personality and radio host. Mdee is popularly known for being the first ever Tanzanian MTV VJ. She later rose to prominence as a radio and TV host, hosting Epic Bongo Star Search and Dume CHallenge for ITV Tanzania before signing to B'Hits Music Group in late 2012.
After joining B'Hits Music Group, Mdee collaborated with Tanzanian rapper A.Y. on a record '’Money'’ and Ommy Dimpoz, a Bongo Flava artist on a record Me and You that was later voted Song of the Year during the 2013 Kilimanjaro Music Awards. She received an even bigger buzz with the release of her first solo single "Closer", which in its first week was downloaded over 30,000 times, a feat achieved by no other Tanzanian artist. "Closer" remained on the charts for over 13 weeks.Vanessa has had the chance to interview many artists, such as K'Naan, Kelly Rowland, French Montana, Trey Songs, Mac Miller, Rick Ross, Ludacris, Miguel, Donald, Nazizi, Xtatic, Stella Mwangi, Camp Mulla, Tay Grin, Teargas, Dr. Sid and many more African and international acts. In 2015 and 2016 she released three singles Nobody But Me, Never Ever and Niroge which were also received well. In July 2018, she was signed to Universal Music Group.

View More On Wikipedia.org
  1. Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

    Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record. Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini...
  2. Katuni ya MBOWE na Halima MDEE

  3. Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA

    Nyaraka za kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na Wabunge wenzake dhidi ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa uanachama na Ubunge wao....
  4. S

    Sakata la Mdee na wenzake litafanya wananchi wazidii kupOteza imani na hili Bunge

    Ukweli ni kwamba kutokana na sakata hili hata wale wanaanchi waliokuwa bado na imani kidogo na hili Bunge, sasa nao watapoteza imani hio kidogo waliokuwa nayo na matokeo yake Bunge zima litadharaulika. Watu lazima watajiuliza wabunge wa kubebwa na serikali(dola) watakuwa na uthubutu gani wa...
  5. M

    Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
  6. Mahakama kuzuia kuvuliwa Ubunge ni kuingilia maamuzi ya Spika na ni kinyume na Sheria. Ingedili na uanachama wao tu

    Leo Spika angekataa kuwavua ubunge akina mdee Chadema wasingeweza kwenda mahakamani kupinga uamuzi wake. Kupitia Sheria ya kinga kwa spika Basi mahakama isingeweza kabisa kuingilia maamuzi yake. Kunasheria zilitungwa ili kutumika kwa wapinzani tu. Mfano ile iliyoweka zuio la Spika kushitakiwa...
  7. K

    Wafuasi wa Halima Mdee na wenzake kwanini mmewatelekeza wenzenu? Mliwadanganya wanawafuasi kama mlivyomdanganya Dkt. Slaa

    Baadhi ya Wabunge 19 walio na mgogoro walikuwa wanakubalika Sana mtaani. Toka wapate Ubunge wameondoka majimboni na kwenye mitandao ya kijamii, wamefifia kwenye bunge na mtaani. Leo Bungeni spika alipotangaza waendelee na Ubunge nikasikia vifijo na nderemo kutoka ccm nikajiuliza siyo Hawa...
  8. B

    Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  9. Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  10. SPIKA: Hauwezi kumfukuza Mbunge ambaye ameshapeleka kesi Mahakamani

    HALIMA NA WENZAKE 18 WANALINDWA NA KIFUNGU HIKI Spika wa Bunge Bunge_tz Dkt. Tulia Ackson ametaja Vifungu vya Sheria vinavyowalinda Wabunge 19 wa Viti Maalum wa ChademaTz kuendelea licha ya kuvuliwa Uanachama
  11. J

    Dkt. Akandunduma: Halima Mdee na wenzake wanapigania Ubunge au Uanachama wao CHADEMA?

    Dr Akandunduma anasema mfumo wa sheria wa Tanzania una mapungufu mengi ndio sababu Katoliki na Bakwata wana Mahakama zao Dokta anasema Halima Mdee na wenzake wamevuliwa uanachama na Chadema hivyo wanachopigania mahakamani ni kurejeshewa uanachama. Suala la ubunge ni lingine kabisa tena ni...
  12. Tujikumbushe na Majizi ya Escrow

    Wakuu Habari! Leo nimeona tujikumbushe kidogo na lile sakata la Escrow jinsi watu walivyoifaidi na wanaoendelea kuifaidi nchi hii bila kuguswa. Kipindi ambacho Bunge ni Bunge hasa sio hili la sasa lilopoa kabisa. Inasikitisha Ila ndo vile tena Aluta kontinua.
  13. S

    Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

    Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM. Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika...
  14. Hatma ya ubunge wa Mdee na wenzake kujulikana leo

    Vyanzo vya ndani vinadai Ubunge wa kina Halima unaweza kuisha leo kwani Bunge limeshafanya maamuzi. Tusubiri, ni muda mchache ujao
  15. Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii yetu ni...
  16. J

    Kwanini Kanda ya Ziwa walio CCM ndio wanawatetea sana Halima Mdee na wenzake?

    Kea sasa watetezi wakubwa wa akina Halima Mdee na wenzake ni wanaccm kutoka Kanda ya Ziwa. Bado sijaelewa ni kwanini!!!
  17. Q

    Kabla ya Halima Mdee na wenzake kukimbilia mahakamani wajikumbushe kesi ya Zitto iliyotupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo. Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo alifungua kesi Mahakamani akiomba zuio la muda asivuliwe uanachama wake ambapo mahakama ilikubali...
  18. Halima Mdee na vijana wengine mlio kwenye siasa, kuna maisha nje ya siasa!

    Swala la Halima linasikitisha na kufundisha pia. Halima wengi tunamfahamu kama shabiki kindakindaki wa CHADEMA tangu akiwa university nilipomfahamia Mimi. Wengi tunayafahamu yaliyotokea kwenye uchaguzi 2020. Ni mjingaa pekee anaweza kusema kwamba hawa Covid 19 waliingia bungeni kwa baraka za...
  19. J

    Ben Kigaila: Nimekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika saa 2:42 asubuhi!

    Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA mh Benson Kigaila amesema amekabidhi barua ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake kwa Spika wa Bunge leo saa 2:42 asubuhi Barua amekabidhiwa Katibu muhtasi wa Spika kea dispatch Source: ITV
  20. H

    Kwanini Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani

    Baada ya Baraza Kuu la Chadema kutupilia mbali Rufaa zao na kuthibitisha kuwafukuza uanachama wa Chadema, Halima Mdee na wenzake hawatathubutu kwenda Mahakamani Kwa sababu zifuatazo; 1. Watakuwa na maswali mengi ya kumjibu Kuhusu walivyoupata huo Ubunge wao, Nani alisaini nyaraka zao, Nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…