mdee

Vanessa Hau Mdee (born 7 June 1988 in Arusha, Tanzania), is a Tanzanian singer, songwriter, rapper, youth activist, television personality and radio host. Mdee is popularly known for being the first ever Tanzanian MTV VJ. She later rose to prominence as a radio and TV host, hosting Epic Bongo Star Search and Dume CHallenge for ITV Tanzania before signing to B'Hits Music Group in late 2012.
After joining B'Hits Music Group, Mdee collaborated with Tanzanian rapper A.Y. on a record '’Money'’ and Ommy Dimpoz, a Bongo Flava artist on a record Me and You that was later voted Song of the Year during the 2013 Kilimanjaro Music Awards. She received an even bigger buzz with the release of her first solo single "Closer", which in its first week was downloaded over 30,000 times, a feat achieved by no other Tanzanian artist. "Closer" remained on the charts for over 13 weeks.Vanessa has had the chance to interview many artists, such as K'Naan, Kelly Rowland, French Montana, Trey Songs, Mac Miller, Rick Ross, Ludacris, Miguel, Donald, Nazizi, Xtatic, Stella Mwangi, Camp Mulla, Tay Grin, Teargas, Dr. Sid and many more African and international acts. In 2015 and 2016 she released three singles Nobody But Me, Never Ever and Niroge which were also received well. In July 2018, she was signed to Universal Music Group.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Majina 19 yanayotajwa kuwarithi Halima Mdee na wenzake bungeni

    Sakata la kuvuliwa uanachama wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linaendelea kushika kasi baada ya tetesi zinazodai kuwa kuna uwezekano mkubwa wa chama hicho kupeleka majina mengine ya wabunge wa viti maalum ili kuchukua nafasi yao. Majina yanayotarajia...
  2. Mdee na Wenzake leo kumwaga mboga kwenye Baraza Kuu

    Leo Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA kitafanyika ambapo pamoja na mambo engine kitajadili rufaa za Wabunge maarufu kama COVID 19. Ila tu watu wajiandae maana COVID nao wamejiandaa kumwaga mboga. Iko hivi, wakati wa kuandaa orodha ya Wabunge wa Viti Maalumu, kuliandaliwa orodha rasmi ikiwa na...
  3. T

    Kama Jamhuri ilimuonea huruma Mbowe na ugaidi basi Mdee na wenzake wataachwa

    Si Jambo dogo kumzungumzia gaidi mbele ya Marekani, Uingereza, Ufaransa na wakakuelewa. Kwao gaidi hatakiwi kuishi. Mbowe aliposhtakiwa na Ugaidi tuliona serikali za nchi hizo kufuatilia kwa karibu kesi hiyo na yote si kwa Sababu wanaipenda Sana CHADEMA au Mbowe ila ni kuhakikisha usalama...
  4. F

    Hili sakata la akina Halima Mdee na wenzake ndo linadhihirisha udhaifu wa CHADEMA kama taasisi!

    Ukiangalia kwa makini utaona CHADEMA ni Chama dhaifu sana ambacho hakina dira yoyote zaidi kutanguliza siasa za kibabe, maslahi binafsi, ukabila,ukanda na siasa za utoto utoto tu! CHADEMA kwa zaidi ya miongo mitatu (miaka 30) imeshindwa kabisa kujenga taasisi imara yenye mifumo imara na chain...
  5. Mbowe umesamehewa na Rais, nawe wasamehe Mdee na wenzake 18

    Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao. Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala ya kuiacha fursa hiyo ipotee au ichukuliwe na CCM. Kuwafukuza wabunge hao wanawake kutoka bungeni...
  6. S

    John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

    Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020 Chanzo:John Mnyika on twitter. Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca...
  7. Kigugumizi cha CHADEMA juu ya akina Halima Mdee kinatokana na nini? Sikilizeni Rufaa na mtoe uamuzi wa mwisho

    Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama hicho. Ikaripotiwa na hata kusemwa na mmoja wa waliofukuzwa uanachama Bungeni Dodoma (Jesca Kishoa)...
  8. S

    Ukiacha ubunge wa Halima Mdee na wenzake, hivi hata wabunge wa CCM ni halali na serikali hii pia ni halali?

    Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali? Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
  9. Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!

    Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali: “Uharamu haupo kwasababu hawezi kuwa haramu halafu akawepo mule ndani. Nchi yetu inaendeshwa Kidemokrasia na Kisheria. Jambo moja tu...
  10. Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu

    Halima Mdee baada ya uchaguzi wa Spika Mpya, amesema kuwa nafasi za wabunge 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA ziko salama pamoja na mabadiliko ya Spika. "Siamini kama nafasi zetu hapa bungeni ziko hatarini kwa sababu ya mabadiliko ya Spika, hatukuja hapa bungeni kwa bahati mbaya, sisi ni...
  11. SSH-2025 Brigade, namuona Easter Bulaya, Halima Mdee mguu kwa mguu na UWT & CCM kumsimika Mama katika Urais 2025

    Nadhani huu ni mkakati bora kabisa ambao utasisimua siasa kuelekea 2025, utaua women wing ya chadema na hata ya vijana. Halima Mdee na Easter Bulaya na troop nzima ya wanoitwa Covid ni "dhahabu" ya kisiasa inayomezewa mate na CCM, japo chadema wamekomaa kuwachafua, wamebalansi hali yao...
  12. Halima Mdee: Imekuwa utamaduni wa Serikali kufukuza wamachinga

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara. Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango...
  13. Vanessa Mdee ajifungua, apewa jina la kichifu la Kipare na Igbo

    Mtoto anaitwa Seven Adeoluwa Akinosho Naaam, mtoto kuingia nchini siku yoyote kukabidhiwa rasmi uchifu. Hongera dada la dada Vanessa Mdee na shemu yetu
  14. Polepole na Gwajima wanaviburi sababu wanajua ata CCM wakiwavua uanachama Spika hatawanyanganya ubunge Kama Akina Mdee.

    Swala la Gwajima NI wazi kuwa CCM hawana la kufanya zaidi ya kuwatisha tu. Kwani wakiwavua uanachama wataamsha hoja ya akina mdee. Acha Wawavimbie tu
  15. Msajili wa Vyama vya Siasa ahoji CHADEMA kuwafukuza Mdee na wenzake 18. CHADEMA wajibu kuwa hawawezi kutoa maelezo kwa Msajili

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14...
  16. CHADEMA yawavutia kasi Halima Mdee na wenzake 18

    Baraza Kuu la Chadema litaketi muda wowote baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kumaliza ziara ya vikao vya ndani waliyoifanya zaidi ya mikoa 20 ya Tanzania Bara na Zanzibar. Pamoja na majukumu mengine, Baraza Kuu la Chadema ndilo lenye jukumu la kusikiliza na kutoa maamuzi juu ya rufaa za...
  17. P

    Bungeni: Mayenga (Mbunge wa CCM) amsimanga Halima Mdee na wenzake 18 bila huruma

    Halima Mdee nje na ndani ya ukumbi unasutwa. Hata uongee point vipi ni pointless. Kusutwa na mwanamke mwenzio ni aibu. Ushauri wangu Jiuzulu Ubunge, kaombe msamaha kwenye chama chako. Ndugai 2025 ni mstaafu, nani atakukingia. Mh LUCY MAYENGA Hongera sana kwa kusema ukweli na kuonyesha wazi...
  18. M

    Uwepo wa kina Mdee Bungeni kikwazo cha Rais kuonana na CHADEMA?

    Huenda uwepo wa wanachama waliofukuzwa chadema almaarufu covid-19 ni mojawapo wa sababu za Rais Samia Suluhu Hassan, kuchelewa kutimiza ahadi yake ya kukutana na chadema. Kwa utambulisho wa Nusrat Hanje jana jijini Mwanza kama mbunge wa chadema hii inaashiria mama anawatambua hao covid-19...
  19. Spika Ndugai umejianika na kujiumbua, wewe si mtetezi wa Wabunge wanawake. Filamu yako ya akina Mdee umeshindwa kuilinda

    Mbunge wa Momba, tena wa chama chetu cha CCM, amedhalilishwa Bungeni. Ametolewa nje ya Bunge kwa aibu kuu akiambiwa kuwa 'hajavaa vizuri'. Amri ya kutolewa nje kwa mwanamama huyo Mbunge wa Momba ilitolewa nawe Spika Job Ndugai. Ni baada ya kuombwa muongozo na Mbunge Ameir akidai kuwa mwanamama...
  20. Ndugai, suala la Ubunge wa Mdee kubalini makosa ili myasahihishe na mheshimike

    Katika Awamu hii ya Mama Samia , ingalau Rais anajaribu kurudisha conscience ya jamii, kisiasa kuheshimu ukweli na uungwana. Suala la Mdee na wenziwe 18 kuwepo Bungeni kwa barua za kughushi linamuondolea heshima Ndugai. Leo akisimama na majoho yake ati kutetea ukweli wa kitu fulani au issue...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…