mfumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhamisho wa watumishi kwenye mfumo wa ESS ni kitendawili kisicho na mteguo

    Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa. Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
  2. A

    DOKEZO Mfumo wa NEST ni jipu

    Mimi ni tenderer kwenye mfumo wa NEST ambao mwanzoni ulikua mzuri kabisa. Na kama kijana nilihamasika kucomply ili niweze kuwa naomba kazi za Serikali. Ni fani ya Ushauri Mazingira. Lakini kwa sasa pamekua pagumu sana. Hakuna kazi na kazi ikitangazwa anatafutwa mtu. Then huyo mtu anatafta wa...
  3. Wanasayansi Wagundua Mfumo Mpya wa Kinga ya Mwili

    Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria. Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya...
  4. C

    Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  5. Mfumo wa usambazaji fiber (mkonga ) TTCL umekosa plan japo wana huduma nzuri ya internet

    Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL. Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji. Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma. Ili linawakumba sana...
  6. J

    Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  7. CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  8. Polisi inawakamata Waratibu wa LBL lakini Watu wanaendelea kupigwa hela kwenye mfumo huohuo

    Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu wengi, lakini nimeamua kuandika hapa kwa kuwa najua kuna wenzetu ambao wana msongo wa mawazo...
  9. Changamoto katika mfumo wa ajira jeshi la Zimamoto

    Habari wakuu poleni na majukumu Niende moja kwa moja kwenye madam kama ilivyoainishwa hapo Juu Nina siku ya 3 Leo Kila nikijaribu Kumsaidia Mdogo Wangu kuomba hizi Nafasi za ajira zilizotangazwa na Jeshi la zimamoto inashindikana, Maana hata log in / sign up inagoma kufunguka, sasa sijui ni...
  10. Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto. Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
  11. Kutofanikiwa kwa mfumo wa ubepari katika nchi zetu za afrika,tumeshindwa kufata mfumo au mfumo unatutema?

    Market Economy/Free market economy Globalization Individualism Tunakosea wapi?
  12. MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MFUMO MPYA WA USAJILI WA VYOMBO VYA MOTO

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  13. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na vyombo vya moto

    Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
  14. Vyama vingi vya upinzani kwenye mfumo wa demokrasia ni sehemu ya mpango wa demokrasia kandamizi

    Vyama vingi vya upinzani barani Afrika, ikiwemo Tanzania, vimeundwa ndani ya mfumo ule ule wa kidemokrasia ambao tayari ni mtego kwa Waafrika. Hii inamaanisha kuwa hata kama chama cha upinzani kikishinda, hakina uhuru wa kweli wa kufanya mabadiliko kwa sababu: 1️⃣ Mfumo wa Demokrasia Umewekwa...
  15. D

    Serikali kukaa kimya kwa kauli 'Tutaingia barabarani" na hakuna kukamatwa kwa uchochezi. Tundu Lissu kashaiingiza Serikali kwenye mfumo

    Kwa sasa hahitaji hata kuomba kibali cha mkutano ni kusema TU. Polisi njooni mnilinde nina mkutano. Hata Heche juzi kamwambia RPC huko Tarime huna uwezo tena wa kuniweka ndani. Kwa Sasa ni makamu m/kiti wa Chama Kikuu cha Upinzani. Ukinikamata yowe itapigwa dunia nzima.
  16. Nimesikia asilimia 40 ya watumishi wa umma hawafanyi kazi hii inasikitisha sana ni kwasababu ya mfumo mbovu wa kiutawala uliopo

    Katika uhalisia mfumo wa kiutawala unachangia kusiwe na uwajibikaji kwa watumishi wa umma nina uwakika kuna zaidi ya aslimia 99% za watumishi wa umma kuwa hawafanyi kazi zinaweza kuzidi hizi aslimia 40% nilizo zisikia. Kutokuwa huku na uwajibikaji kwa watumishi hao kunaweza kuchangiwa na...
  17. Mfumo wa wengi wape ni mfumo wa ajabu sana

    Mfumo wa wengi wape kupitia sanduku la kura ni mfumo wa hovyo samahani kwa kusema hivi. Mfano wa Tanzania wananchi wengi wa Tanzania ni wajinga wajinga huwezi tegemea kundi kubwa la watu wajinga wajinga wakachagua kilicho bora kwao. Watu wasiojua uelekeo wa dunia, watu waliozalishwa na mfumo...
  18. Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  19. Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
  20. M

    Viongozi wa JKT Tanzania hakikisheni Yanga hawapiti mlango wowote zaidi ya ule mtakaopitia nyinyi, washaingia katika mfumo leo

    Leo lazima kuwe na ubaya ubwela pale Meja Isamuyo, tafadhalini sana uwanja huo una nidhamu zake, eneo hilo ni kambi ya Jeshi, mambo ya kuingia uwanjani kuruka ukuta ama kuvunja geti mpitie mlango mwingine tofauti na ule uliowekwa ukomeshwe leo, Utopolo hawana uwezo wowote zaidi ya nje ya uwanja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…