mganga

Mganga (mganga wa kienyeji) ni mtu anayehudumia watu kwa njia za kienyeji ikiwemo kutibu.
  1. Engager

    Nilivyozidiwa kete na mganga wa kwenye kipeperushi

    Mwaka 2018, weekend moja niliamua kutoka mkoani nikaenda zangu dar kula bata. Lilikuwa bata la siku mbili kavu. Nilipanda mwewe ijumaa jion baada ya kazi, nikaplan kurudisha mironjo yangu j3 asubuhi nije niendelee na majukumu ya kujenga taifa. Jumamosi bata lilikwenda fresh kabisa. Nilifaidi...
  2. GENTAMYCINE

    Kumbe Mganga wenu Kienyeji aliona Kipigo na mkacheza na Taa za Uwanja ili Mechi ihairishwe mroge vizuri?

    Pongezi nyingi mno kwa Nahodha wa Uganda (The Cranes) Okwi, Kocha Micho, Refaree, Kamisaa wa Mechi na Msimamizi Mkuu kutoka CAF kwa Kukataa Mechi iahirishwe (kama ilivyoombwa na Mazuzu Waliofungwa) na kutaka Kipigwe na Mwanga ule ule uliokuwepo. Wapuuzi wakubwa yaani tokea Mechi inaanza Taa...
  3. Mohammed wa 5

    Jirani yangu ni mganga, anatufanya tusilale usiku

    Ni mwaka na miezi 2 tokea nimeanza kuishi maeneo haya mwazoni tulikuwa tunaishi vizuri, sababu Mimi napenda maeneo yanayotulia makelele sipendagi kabisa. Miezi 2 nyuma Jirani yangu aliuza nyumba, yake mtu alionunua Ile nyumba hatumfahamu shida imeanza wiki ya pili sasa usiku hatulali, ni...
  4. Mohammed wa 5

    Wazazi tuwafundishe watoto wetu upendo

    Mtu mmoja aliniuliza kitu gani miongoni mwa vitu ambavyo najutia maishani..nilimjibu kitu fulani lakini leo napenda kujibu hapa kushare na wengine labda inaweza kusaidia kubadili mitazamo yetu kuhusu maisha. Binafsi najutia tabia yangu fulani ya utotoni...tabia yangu na ya baadhi ya rafiki...
  5. L

    Miaka ya nyuma mganga aliniambia kuwa...

    Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi sana. Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe. Sasa...
  6. GENTAMYCINE

    Mlioko nchini Mali mbona hamtupi Updates zenu za Mganga wenu Kuzuiliwa tena Airport kama kule Tunisia?

    Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania? Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali. Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
  7. BARD AI

    Mganga wa kienyeji Mbaroni akidaiwa kubaka mgonjwa wake

    JF SUMMARY Jeshi la Polisi linamshikilia Sabihi Mpando, Mkazi wa Chipuputa kwa tuhuma za kumfanyia Ukatili wa Kingono Mgonjwa mwenye mwenye miaka 17 aliyekuwa akimtibu wakiwa Makaburini. Kaimu Kamanda wa Polisi, Hamis Ramadhani, amesema, Mganga alimlaghai mwathirika na kwenda naye eneo la...
  8. B

    Dkt. Samizi afanya ziara Jimboni, achangia zaidi ya Milioni 3 Ujenzi wa nyumba ya Mganga wa Kituo cha afya

    DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA. Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Usagara Jimboni ambapo pamoja na mambo mengine ameweza...
  9. Mganguzi

    Adui mkubwa wa Simba ni mganga wao, aliwaaminisha ameshamaliza kazi muongo mkubwa sana huyo sangoma! Nitamtaja!!!

    Simba timu yangu msipoacha uchawi hakika mtazidi kupata aibu ! Tabia yenu ya kumtegemea huyo sangoma wa kike hapo klabuni niyakipumbavu sana ! Mbaya zaidi mnampa na pesa kabisa awasaidie kuloga mechi hayo mambo niyakipuuzi sana na hamtafanikiwa kamwe!! Aliwaaminisha wachezaji ameshamaliza kazi...
  10. love life live life

    Mawaziri hawa wanafanya nini cha ziada mpaka kuaminiwa na Rais?

    Wakuu wadanganyika naomba kufahamu mwenye connection na mtaalam wa marope sababu naona accuracy yake ni 99.9%. Akiongea na boss jua boss hachomoi. Sasa bandugu na mimi nina boss wangu nataka nimfanye kama marope alivyomfanya chifu asiweze kuchomoa kwa kila nitakalo mpendekezea hata ni...
  11. Mwanangikolo

    Hivi ni kweli mganga anaweza kufanya mwanamke asiekupenda akakupenda?!

    Kwema wakulungwa. Hii imenitokea juzi kuna demu ananisumbua sana apa mtaani nishamtongoza sana ila kunpa mchezo anazngua sasa nkawa nmemsimulia jamaa ang mmoja akanishauri nmchek mtaalamu mmoja yupo uko mkoan baada ya kuongea na uyo mtaalam kasema nmtumie majina ya uyo dem na hela ya kaz sh...
  12. Liverpool VPN

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu. Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
  13. mdukuzi

    Niliwahi kwenda kwa mganga kuomba dawa ya biashara haikusaidia, ikanipa mvuto wa wanawake. Niliwachakata mpaka nikafilisika

    Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani. Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of specialization kama MD walivyo, kunaambao wamebobea kwenye dawa za kufuta kesi, dawa za mapenzi...
  14. Mbepo yamba

    Nimeenda kwa mganga ameshindwa kupandisha pepo

    Wakuu nawasalimu. Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke. Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia...
  15. mudy92

    Mganga tajiri zaidi Afrika (kutoka Nigeria)

    Anaitwa CHUKWUDOZIE NWANGU al-maarufu kama AKWA OKUKU TIWARI NA OBA Huyu jamaa alikuja kujua amechaguliwa na mizimu ya ukoo alipo kuwa na miaka 12, Aliitika with huo na kuanza kutibu watu na kujizolea umaarufu mkubwa sana! Mpaka sasa anakadiriwa kuwa na utajiri wa dola za kimarekani $1 milioni...
  16. LIKUD

    Njoo hapa nikufundishe njia sahihi ya kupigana vita vya kiroho

    Nianze KWA ku declare interest nimezaliwa katika familia ya kiislamu. Katika maisha yangu halisi najulikana kama muislamu. Familia yangu inanitambua kama Muislamu. Lakini ndani ya nafsi yangu nilisha uvua utambulisho wa uislamu toka enzi za Pontyo wa Pilato. Niliamua kuachana kabisa na mambo...
  17. BARD AI

    Rukwa: Mganga wa Jadi ahukumiwa kifo kwa kuua watoto wawili

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga dhidi ya James Kapyela ambaye aliwalawiti watoto hao kabla ya kuwaua na kutupa miili yao kwenye pagala liliopo nyumbani kwake Machi 23, 2019. Jaji Thadeo Mwenempazi alisema Mahakama imeridhishwa na mashahidi 11 wa Jamhuri waliothibitisha kuwa Mganga aliwaua...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

    NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
  19. Sildenafil Citrate

    Prof. Tumaini Joseph Nagu ateuliwa Kuwa Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Florens Martin Turuka bosi mpya DART

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Florens Martin Turuka, Katibu Mkuu Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Amemteua Bi. Beng’i Mazana Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa. Bi. Beng'i ni...
Back
Top Bottom