mgawanyo wa mali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Ukijenga kabla ya ndoa, ukioa nyumba ni ya wote mke na mume?

    Wakuu haka kavideo kanashtua kidogo. Uhalisia ni upi?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA kuendelea Agosti 5, 2026

    Kesi ya Mgawanyo wa Rasilimali za CHADEMA iliyofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Katibu Mkuu imeahirishwa mpaka Agosti 5, 2026. Taarifa hiyo imetolwa na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
  5. JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi ya Mgawanyo wa mali za Chama iliratibiwa na Sisty Nyahoza na Salehe Bohora aliyetumwa na Rais Samia

    Kesi ya uongo ya mgogoro fake wa mali, ni kesi ya Msajili wa vyama.. Kesi husika ipo hapa>> Mahakama yafuta kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA Marehemu mama Komu alituelezea namna ambavyo Sisty Nyahoza, Msajili msaidizi akiwa na mtu anaitwa Salehe Bohora, walivyomfuata nyumbani kwake na kuomba...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya CHADEMA mgawanyo wa Mali yafutwa

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Alhamisi Mei 28.2026, Mahakama imeifuta rasmi na kuindoa Mahakamani Hati ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufikishwa Mahakamani kesho Mei 25, 2026 kusikiliza Maombi yake kuunganishwa kesi ya mgawanyo wa Mali

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa kesho Jumatatu, tarehe 25 Mei, 2026 Mwenyekiti wa chama taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu atafikishwa mahakamani. Mheshimiwa Lissu atafikishwa kusikiliza maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya mali za chama kwa nafasi yake...
  8. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

    Salaam wakuu, kwanza naomba ifahamike kataa ndoa ni chama chenye kulinda haki na maslahi ya jinsia zote zinazo tambulika kisheria. (me na ke). Chama hiki kilianzishwa baada ya kushamiri kwa upigaji, ukandamizaji wa haki na ufekiji wa hisia ili kujitengenezea mazingira ya kumdhurumu au kumdhuru...
  9. JamiiForums Tanzania Wakili Marijani: Mnyika ameupotosha Umma, shauri la mgawanyo wa mali wa CHADEMA

    Wakili mwandamizi Shaban Nsato Marijani ameeleza kuwa kilichozungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), John Mnyika kuhusu wigo wa shauri la mgawanyo wa mali ni upotoshaji. Wakili huyo amefafanua kuwa msimamo ukiotolewa awali haujawahi kubadilika mpaka pale Mahakama itakapoamua...
  10. JamiiForums Tanzania MKURUGENZI WA SHERIA CHADEMA: Mrejesho wa shauri la marejeleo Na. 8323/2026 na Kesi ya Msingi ya mgawanyo wa mali na maombi madogo Na. 8960/2025

    Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba 8960/2025 maombi ya zuio kwa Chama kufanya shughuli za kisiasa na kutumia mali za chama. Kuhusiana...
  11. JamiiForums Tanzania Hoja nne za CHADEMA Mahakama ya Rufani katika mapitio kesi ya mgawanyo wa mali

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk Rugelemeza Nshala amefafanua hoja nne walizowasilisha katika Mahakama ya Rufani katika marejeo ya kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, leo Machi 24, 2026. Hoja hizo ni pamoja na ukomo wa muda wa mgogoro unaobishaniwa, thamani ya mali zinazotakiwa kugawanywa...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Nshala: Afunguka yaliojili kwenye kesi ya mgawanyo wa mali wa CHADEMA

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala, akizungumza kwa niaba ya Jopo la Mawakili wa Chama hicho amesema kuwa Mahakama ya Rufaa imesikiliza na kupokea hoja zote za maombi ya marejeo ya mwenendo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama hicho, kesi...
  13. JamiiForums Tanzania Dar: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wazuiliwa tena kuingia Mahakama Kuu

    Salaam, Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hatma ya kesi mgawanyo wa mali CHADEMA ni leo Machi 6, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es salaam kwa ajili ya kusikilizwa kwa hoja za maombi yake ya kutaka kujumuishwa katika kesi ya mgawanyo wa rasilimali za Chama hicho. Soma Mahakama Kuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…