Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani.
Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Madirisha Kanyalu (60) amejiua kwa kujitumbukiza kwenye kisima baada ya kumuua mtoto wake Meshack Madirisha (miezi 11) pamoja na mkewe aitwaye Evodia Nyerere (27) kwa kutumia kitu chenye makali akimtuhumu mkewe kuchepuka na wanaume wengine.
Kwa mujibu wa Kaimu...
Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
Picha: Fredrick Lowassa
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa kupitia mtandao wake wa Instagram, ameandika kuwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro ni Watanzania na wana haki sawa Kama Watanzania wengine.
“Wamasai wa Ngorongoro ni Watanzania na wana HAKI sawa kama Watanzania wengine...
Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye makala yangu jinsi idara zetu za usalama zimejikita na siasa kiasi mataifa yakigeni yanatengeneza...
Inasikitisha sana tunakoelekea, jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitembelea kata ya Loliondo mkoani Arusha na kwenye hoja za msingi alizoongelea tena kwa urefu na kuwapa wakazi wa eneo lile fursa ya kuchangia ni kuhusu pori tengefu la Loliondo.
Tena kama haitoshi alisisitiza kabisa kwamba...
Wiki iliyopita, waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alitaja masuala ya usalama ya Urusi kuwa "halali", akisema yanapaswa "kuchukuliwa kwa uzito na kushughulikiwa".
Siku ya Jumatatu, balozi wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun alikwenda mbali zaidi na kusema moja kwa moja kwamba China...
Ni wazi wananchi wa pande zote za Muungano huu hawaridhiki na huu Muungano na ni wanasiasa ndio wanaoung'ang'ania kwa masilahi yao, hivyo ni swala la muda Muungano huu kuja kuvunjika au kuzua mgogoro mkubwa.
Swali langu ni je, Muungano ukivunjika na ukatokea mgogoro labda katika kugawana...
Wasalaam kutoka Ngorongoro.
JF na Great thinkers wote wa humu wamekuwa na mchango mkubwa kwa matatizo yanayowakabili wananchi wa Tanzania kutoka maeneo mbalimbali...
Nawandikia hivi ikiwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Ngorongoro ikihusishwa na nia ya Serikali kutaka kuwaondoa wananchi hao...
Waziri wa mambo ya nje Marekani amewasiliana na rais Uhuru kwa simu wakaijadili Ethiopia na udhabiti wa Afrika kwa jumla.....
Kenya's President Uhuru Kenyatta and US Secretary of State Antony J. Blinken on Tuesday held talks with peace in Ethiopia and Somalia topping the agenda.
State...
Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote.
Mtakumbuka February, 2021 kabla ya ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan Jumla ya tani 3.514 za avocados|parachichi toka Tanzania...
Upendeleo Siku zote ufarakanisha watu, walipoanza kujenga uwanja wa ndege na majumba makubwa Chato tulitahadharishwa kwamba Hawa watu wanaelekea kujitenga na kujitengenezea Mamlaka yao. Tulioambiwa tumkemee huyu mtu atavuruga Wananchi tulimsifia kwamba ni mzalendo.
Leo aliyokuwa anayafanya...
Kufuatia dunia kukata tamaa kwamba mgogoro wa Israel na Palestina hauwezikuisha asilani na kwamba dunia imegawanyika katika mgogoro huu kwa kuchukuwa pande mbili ambapo upande mmoja wa dola za Magharibi kushikilia kuiunga mkono Israel (kisirisiri) na upande wa dunia ya Waarabu na Waafrika...
Imebidi niingie chimbo kuchunguza mgogoro huu wa Dayosisi ya Konde.
Wazungu wanasema penye mgogoro usiotaka kuisha- FOLLOW THE MONEY!
Kiti cha Askofu kimeshindwa kurudishwa Tukuyu maana ofisi ya Tukuyu ilimokuwa Dayosisi imeuzwa au kupangishwa kwa milioni 200.
Ofisi wameuziwa au kupangishwa...
CHANZO SAHIHI
Kuna Mgongano Mkubwa sana ambao unaitesa Serikali Na CCM.
Juzi maeneo ya Area C Ndani ya Kihoteli kidogo Double K Dodoma haya yamebainika,
Hakuna jambo liliwashtua watu kama Magufuli kuondoka Hasa Wale walikuwa wanamsujudu,
Wale akina Kesi, Mlinga, Ndugai na Msukuma Bungeni...
Habari wanajamvi,
Kama ilivyo kawaida, kufanya tafakuri ya mambo yale mtu anayoyasikia maredioni na magazetini kuhusu yanayoendelea kwenye siasa za nchi mbalimbali.
basi nami nimejikuta nikiyatafakari sana yale yanayoendelea huko Ethiopia na vita vyao vya serikali ya kitaifa na wanamgambo wa...
National Interest: Marekani itashindwa na China katika vita juu ya mgogoro wa Taiwan
Jarida la National Interest limewanukuu maafisa wa zamani na wa sasa wa masuala ya ulinzi nchini Marekani wakitahadharisha kwamba, Washington itashindwa na Beijing iwapo kutatokea vita juu ya eneo la Taiwan...
Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza.
Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake.
Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.