mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Togo yakubali kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa nchini Mali

    Rais wa Togo Faure Gnassingbe amekubali kuwa mpatanishi katika mzozo wa kisiasa wa Mali huku serikali ya kijeshi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikikabiliwa na shinikizo la kurudisha utawala wa kiraia, mawaziri wao wa mambo ya nje wamesema. Tangu Agosti 2020 wakati jeshi lilipochukua mamlaka...
  2. tutafikatu

    Maaskofu KKKT wacharuka - Katibu Kitundu Aliwalisha Maneno Alipozungumzia Mgogoro wa Konde

    Kitundu si msemaji wa Baraza au Faragha ya Maaskofu Taarifa aliyoitoa kwenye vyombo vya habari, ilikuwa ya uongo kwa sababu maamuzi yaliyofanywa na Askofu Shoo kumuondoa Mwaikali kwenye Uaskofu, hayakufuata katiba ya KKKT Dayosisi ya Konde na wala hayakupewa baraka kwenye mkutano wa Maaskofu...
  3. Cannabis

    Sakata la JATU PLC lazidi kupamba moto, Serikali yaingilia kati mgogoro wake na wanachama

    Serikali imesema inaifuatilia Kampuni ya Jenga Afya Tokomeza Umasikini (Jatu PLC) baada ya baadhi ya wanachama wake kudai kutapeliwa mamilioni ya fedha waliyowekeza katika miradi ya kilimo. Kwa mujibu wa tovuti ya Jatu PLC, kampuni hiyo inayowaunganisha wakulima na kuwawezesha kulima kisasa...
  4. Introver

    Je, mgogoro wa Urusi na Ukraine,umetabiriwa kibiblia?

    JE MGOGORO WA URUSI NA UKRAINE,UMETABIRIWA KIBIBLIA? la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Leo tutajifunza juu ya mgogoro wa Urusi na Ukraine, Je Mgogoro huu umetabiriwa katika biblia? Awali ya yote, kabla hatujaendelea mbele, tusome kwanza mstari ufuatao.. Hapo...
  5. L

    Je, mawasiliano mfululizo kati ya China na Afrika yana uhusiano na mgogoro wa Ukraine?

    Je, mawasiliano mfululizo kati ya China na Afrika yana uhusiano na mgogoro wa Ukraine? Hivi karibuni, wakati macho ya watu wengi yanaelekezwa kwenye mgogoro wa Ukraine, mawasiliano ya ngazi ya juu kati ya China na Afrika pia yamekuwa ya mara kwa mara. Sadfa hiyo imetafsiriwa na baadhi ya watu...
  6. Ushimen

    Uzi wa kumtafuta Ex wake wasababisha mgogoro katika familia

    Kuna mdau aliandika uzi hapa akimtafuta x wake, na jmleta uzi ameandika kila kitu kwa uwazi pasipo kutumia code. Huyo x wa mleta mada ameandika hadi utam aliokuwa akiuoata kwa kutoka kwa mwali "tena kamsifia sana". Kumbe yule mwali alisha olewa na jamaa ni member mtiifu hapa JF na ameuona ule...
  7. Lady Whistledown

    Maaskofu Wastaafu wa KKKT Wapinga hatua zilizotumika kutatua mgogoro wa Dayosisi ya Konde

    Wakati Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) likitoa tamko la kufafanua mgogoro wa Dayosisi ya Konde mkoani Mbeya, baadhi ya maaskofu wastaafu wametoa waraka wa kupinga hatua zilizochukuliwa na uongozi wa kanisa hilo kwa mgogoro huo. Mgogoro wa Dayosisi ya Konde umekwenda mbali na...
  8. Analogia Malenga

    UN: Raia 1,471 wameuawa kutokana na mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Haki za Binadamu (UN-OHCHR) limeripoti raia 1,417 kuuawa tangu kuanza kwa vita vya Urusi na Ukraine, Raia wengine 2,038 wamejeruhiwa 121 kati ya waliouwa ni Watoto. UN-OHCHR imesema idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa kuliko iliyoripotiwa. === As of...
  9. L

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umeonyesha unafiki wa nchi za magharibi

    Fadhili Mpunji Wakati dunia inaendelea kutafakari kuhusu changamoto zinazosababishwa na mgogoro unaoendelea kati ya Russia na Ukraine, kumekuwa na maswali mengi yanayoibuka, na kufanya watu watafakari udhati na kinachoitwa maadili ya nchi za magharibi (western values), na hata msimamo wa nchi...
  10. tutafikatu

    Siri: Kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde

    SIRI imefichuka, kwamba kiini cha mgogoro unaofukuta ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Mbeya, kinatajwa kuwa ni kuficha udanganyifu kwenye mkopo uliochukuliwa na Kanisa hilo, takribani miaka minane iliyopita. Raia Mwema ilielezwa kuwa baadhi ya viongozi...
  11. lee Vladimir cleef

    Manaosubiri NATO kuingiza majeshi Ukraine katika mgogoro huu mtasubiri sana.

    Kwanza kabisa tukubali kuwa Urusi ni mwamba. Pia tukubali kuwa ni kweli hii ni operation maalumu kama Wanavyoiita wao Urusi. Ni kweli lengo la Urusi ni kuiodhiofisha kijeshi Ukraine na ni kweli Sasa Ukraine imedhoofika kabisa kijeshi kwa sababu kambi zake zote muhimu zimeharibiwa na miundimbinu...
  12. lee Vladimir cleef

    Ukweli ni kuwa Urusi haichukiwi na nchi nyingi katika mgogoro huu

    Mgogoro huu kati ya Ukraine na Urusi unaongoza kwa propaganda kuliko mgogoro wowote ule toka vita kuu ya pili ya Dunia. Ukisikiliza propaganda za nchi za west unaweza kudhani Urusi imechukiwa na Dunia nzima. Lakini ukweli sio hivyo. Hali halisi Iko hivi. Nchi zinazoichukia ama kuonesha...
  13. Analogia Malenga

    Rais Ramaphosa ailaumu NATO kwa mgogoro wa Urusi na Ukraine

    Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake wa magharibi. Ramaphosa...
  14. Man from cuba

    Mgogoro KKKT Dayosisi ya Konde nani alaumiwe?

    Kanisa la kiinjili la kiluteri Tanzania KKKT dayosisi ya konde limeingia majaribuni baada ya mgogoro wa muda mrefu uliotokana na uamuzi wa askofu wake Dkt. Mwaikali kuhamisha kiti cha askofu kutoka Tukuyu kulipokuwepo makao makuu ya dayosisi ya konde kuyapeleka Mbeya mjini uamuzi uliozua mgogoro...
  15. JanguKamaJangu

    Waziri aagiza BASATA kushughulikia mgogoro wa uteuzi wa Steve Nyerere na Wasanii

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, leo Jumanne Machi 22, 2022 amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kulitaka Barasa la Sanaa Tanzania (BASATA) kuwaita viongozi wa Shiriko la Muziki Tanzania kuhusu mgogoro unaoendelea wa Steven Nyerere kuteuliwa kuwa msemaji kisha...
  16. M

    Mgogoro wa Urusi na Ukraine: Nchi za magharibi zaumbuka. Zilitaka kupeleka silaha Ukraine zikidai ni misaada ya kibinadamu

    Wafanyakazi wa viwanja vya ndege wamegoma kupakia shehena ya silaha Toka Nchi za magharibi, huku zikiwa zimeandikwa kuwa ni shehena ya madawa na vyakula Kama misaada ya kibinadamu! Nchi za magharibi ni washenzi! Wanashangilia vita kwa kuwa kwao ni soko la silaha na fursa ya kufanya majaribio ya...
  17. John Haramba

    Katavi: Serikali waombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi, wadai wawekezaji wamepewa kinyume na utaratibu wa sheria

    BAADH ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameiomba Serikali ya Mkoa huo kuingilia kati mgogoro wa ardhi wa zaidi ya hekali 40 zilizopo katika Kitongoji cha Jelemanga "A" na "D"kijini cha Milala. Mgogoro huo uliodumu muda mrefu unatokana na baadhi ya wananchi kudai kuchukuliwa...
  18. John Haramba

    Wakili amtaja mtu atakayemuokoa Makonda mgogoro dhidi ya GSM, afafanua kosa alilofanya kisheria

    Mgogoro wa kuwani eneo uliopo kati ya Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabishara maarufu Ghalib Said Muhamed (GSM) unaendelea na hadi sasa kila upande unavuta upande wake ukiamini wenyewe ndiyo una umiliki halali wa eneo hilo. Tayari GSM kupitia Mwanasheria, Alex...
  19. The Genius

    Elimu ya ardhi mgogoro wa Makonda na GSM

    Adv. Taslima Kaijage +255 715 / 784 / 774 - 161820 1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja kadri uwezavyo. Wengi mkinunua kwasababu hakuna anayekulazimisha kufanya transfer kwa haraka basi...
  20. BigTall

    Kuna hii taarifa ya mgomo wa mabasi Mtwara – Masasi, Mtwara – Lindi

    Madereva wa magari yanayofanya safari Kati ya Mtwara na Masasi na Mtwara Lindi wamegoma kufanya kazi kutokea stendi kuu ya mkoani Mtwara kwa madai ya kutoridhika na nauli ya sasa na kutaka ongezeko la nauli. Kwa sasa nauli ya Mtwara Masasi ni 7,500 na wanataka ifike 10,000. Na Mtwara Lindi...
Back
Top Bottom