Hapa China ka win pakubwa sana kwenye international diplomacy. Wajinga wasiojua wanaangalia upade wa ubabe na primitive thinkig ya imperialists.
China ameonesha namna mkubwa anvyotakiwa ku behave ili kuweka dunia iwe salama. Nchi nyingi zitamwamini mchina kuliko marekani.
Vilevile kwa namna...
Mbunge wa Hai ndugu Saashisha Mafuwe amekuwa source ya mgogoro kati ya muwekezaji wa makoa farm na wananchi wa kijiji cha uduru ambao ndiyo wamiliki wa shamba hilo. Muwekezaji huyo mjerumani aitwaye Elizabeth ana mkataba wa uwekezaji unaofika ukomo mwaka 2039.
Mapema mwezi huu mbunge SAASHISHA...
Nadhani na umri nao umekuwa changamoto kwa mzee maana maamuzi yake yamekuwa kwa sasa hata hayaeleweki vizuri. Tumeingia mgogoro kwa jambo dogo sana. Lilianzia kwenye birthday yangu mwaka huu. Alitaka ninunulia gari ambalo kiuhalisia mimi niliona ningekuwa najichoresha sana. Lingekuwa gari pekee...
Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka.
Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo...
Wanadiplomasia wakuu kutoka Marekani na China wamekuana leo Julai 9, 2022 kwa zaidi ya saa tano katika juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya Nchi hizo mbili.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken alisema uhusiano wa mataifa hayo una ‘matokeo makubwa’, akieleza kuwa...
Kinachoonekana baina ya Pro Russia dhidi ya Pro NATO/ USA/ Ukraine sio ushabiki Bali ni historia.
Histori inatuambia kulikua na Kambi tatu.
1) West ikiongizwa na USA UK na western wengine.
2) East ikiongizwa na USSR ambayo ndo Urusi East German na wengine.
3) NAM, kwa Kiswahili nchi...
Watanzania si wepesi kuingilia Uhuru wa nchi nyingine Huru zinazoizunguka naweza kusema hivyo haijawahi kutokea Tanzania ikawa kinara wa mambo ya nchi nyingine siku zote wanaishi maisha yao na shida zao.
Ukimya huu wa Tanzania hata kwa Dunia ni nchi ambayo iliamua kutochagua upande wowote hata...
Kwa zaidi ya miaka 30 sasa eneo la pori tengefu la Loliondo limekuwa na mgogoro ambao awali uliwahusisha wananchi na kampuni ya uwindaji ya Ortello Business Cooperation (OBC) na mwingine kati ya kampuni ya utalii ya Thomson Safaris na wananchi wa eneo la Sukenya.
Kutokana na migogoro hiyo...
Habari JF,
Kenya sio Muda wanaingia kwenye Uchaguzi mkuu hivyo sio rahisi kujihusisha kwenye huu mgogoro wa Ngorongoro labda wawe na mfumo imara sana katika Uongozi wa Nchi ambao hautegemei Rais anae kuwepo madarakani.
Kinachofanyika Kenya ni kujizolea points za mezani kupitia huu mgogoro huu...
Caroline Nassoro
Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
Habari ndugu Watanzania,
kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali.
Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu mzozo na tuondoe sintofahamu iliyopo kwa Watanzania kuhusiana na huu mgogoro.
JE, nini chanzo Cha...
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati Magufuli haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki...
Spika anatoa kauli yake Juu ya swala la Ngorongoro na mkuu wa Mkoa anatoa Taarifa yake ambayo ina kinzana na Taarifa ya Spika na ukitazama Mtu alie kwenye control ya Lile eneo ni Mkuu wa Mkoa so ana details za kutosha na inaonyesha huu Mgogoro sio wa Leo lakini spika alikanusha hapa,
Nani...
"Marekani kutoa sheria inayolenga kuziadhibu nchi za Afrika ‘zinazofungamana’ na Russia." Hiki ni kichwa cha makala moja iliyochapishwa hivi karibuni katika gazeti la Nigeria Premium Times. Wakati huohuo, Gazeti la Daily Maverick nchini Afrika Kusini pia lilionya kuwa sheria hiyo inaweza...
Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa limetoa “Ripoti ya Mgogoro wa 2022 wa Chakula Duniani”, ikisema dunia itakabiliwa na uhaba wa chakula ndani ya wiki 10 zijazo. Hili ni suala kubwa linalohusisha usalama wa chakula wa mabilioni ya watu duniani, hivyo linafuatiliwa sana. Kwa mara...
Tofauti na nchi za Yugoslavia, Iraq, Afghanistan, Libya na hata Syria.
Urusi ni nchi yenye jeshi kubwa sana hapa duniani na lililokamilika.
Urusi Ina majeshi kamili ya Ardhini,angani na majini.
Sio TU kamili,Bali pia Ina silaha za Kila aina na za kipekee,katika majeshi hayo matatu.
Russia...
"Anyway, this is a NATO war against Russia..." ameyasema hayo mwanahabari na mwanahistoria Angelo D'Orsi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine.
Akizungumza na Italian TV, mwandishi huyo pia alikosoa vikwazo vya Magharibi dhidi ya Urusi, ambavyo vinaikumba Ulaya yenyewe. Pia alihoji "the fact"...
Eti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja.
Mgogoro wa kwanza, baba kauza shamba la familia pesa kaenda kuhonga malaya wake.
Mgogoro wa pili, mama kapatiwa ujauzito na kibeniten tena kilichokuwa kimepanga nyumba ya jirani.
Mgogoro wa tatu...
Wataalamu nchini Sudan wameonya kuwa mwaka huu nchi hiyo inakabiliwa na ukosefu mkubwa wa chakula au hata kuwa mgogoro wa chakula, na idadi ya watu wanaoathiriwa na njaa inaweza kuongezeka na kufikia milioni 18 ambayo ni asilimia 45 ya jumla ya watu wa nchi hiyo.
Mchumi wa Sudan Bw...
Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo!
Morrison naye pia hayupo?!
Pablo anaihujumu Simba?!
Nb;
Simba ya makaratasi uwanjani leo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.