mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mgogoro wa Ardhi katika vijiji vya Nyatwali na Utegi mkoani Mara

    Binafsi nichukue nafasi hii kuwashukuru Halima Mdee na Jafari Chege kwa kuwasemea Wananchi wa maeneo haya kuhusu manyanyaso ya Serikali dhidi yao. Nianza na Kata ya Nyatwali. Kata hii ina vijiji vitatu Tamau, Nyatwali na Serengeti. Vijiji vyote viko kisheria na vilianzishwa tangu mwaka 1972...
  2. JanguKamaJangu

    Viongozi sita wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa Ukraine na Urusi

    Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani." Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri...
  3. Gulio Tanzania

    Mgogoro wa Kariakoo sio rahisi kuumaliza, bado yataendelea

    Mimi ni mnunuzi bidhaa mbalimbali hapo kariakoo ukweli ni kwamba asilimia 90 ya wafanyabiara hawatoi risiti halali yani ukinunua mzigo wa mil 1 unapewa risiti ya laki 5 wafanyabiasha wa wahindi wao watakuomba wakutolee risiti ya laki 7 wanaouza bidhaa bila risiti ni asilimia 1 wanaotoa risiti...
  4. Roving Journalist

    Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  5. SYLLOGIST!

    Mgogoro wa Israeli na Wapalestina unapima akili ya Mzungu

    Waarabu wanapima kuwajua wazungu kama ni watu kamili kama wao au wana uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao. Hata nguruwe ukiwapa kichapo na jambia TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) tu bila kutumia akili zao. Waarabu wanajua kuwa rafiki mkubwa...
  6. kavulata

    Mgogoro wa Ukraine na Urusi unapima akili za Waafrika

    Wazungu wanapima kutujua waafrika kama ni watu kamili kama wao au tuna uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao. Hata nyani na tumbili ukiwapa ndizi TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako kwa njia ya conditioning (ushawishi) TU bila kutumia akili zao. Wazungu wanajua kuwa rafiki mkubwa...
  7. Kaka yake shetani

    mgogoro wa sudani sasa ni mafahari wawili zizi moja

    sudani si shwari tena. sio mzuri wa makala ila kiukweli uwezi kuwa na fisi wawili kwenye zizi moja.tatizo lilianza kwa bashiri . ARF NA JESHI LA SUDANI ndio mwendo wa simba na yanga
  8. Zacht

    Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

    Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
  9. Mpinzire

    Fahamu juu ya mgogoro wa Cuba na Marekani 1962

    1962 uliibuka mgogoro ambao ulitaka kupelekea vita kati ya nchi ya Cuba na Marekani mara baada nchi ya Marekani kugundua kuwa USSR inaweka makombora ya Nuklia nchini Cuba, Nchi ya Cuba chini Fidel castro ilikuwa ni mshirika wa karibu sana wa Umoja wa Kisovieti (USSR). Chanzo hasa kilichopelekea...
  10. L

    Vikwazo zaidi vilivyowekwa na nchi za Magharibi dhidi ya Russia vyaondoa uwezekano wa suluhisho la amani la mgogoro

    Wataalam wa China wamesema, hatua za karibuni za nchi za Magharibi za kuendelea kuitenga na kuongezea vikwazo Russia zinaondoa uwezekano wa mazungumzo ya amani, na badala yake, zitasababisha umwagaji damu zaidi katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wataalam hao wametoa kauli hiyo baada ya...
  11. A

    Mgogoro wa wawekezaji na wananchi umepelekea kifo cha Katibu wa CCM Luturo, Muleba

    Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa ranch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera. Hapa chini ni kipande cha video wakati wa mazishi ya huyo kijana. Mbuge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alionekana...
  12. L

    Simba bado kuna mgogoro, usipotatuliwa Horoya watatutia aibu kwa Mkapa kama tulivyofanyiwa kwa Galaxy Gwaneng

    Dah, we acha t
  13. BARD AI

    Askofu Dkt. Shoo amaliza mgogoro wa Dayosisi ya Kusini Mashariki

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Fredrick Shoo amefanya ziara ya siku tatu mkoani Mtwara kwa ajili ya kutatua mgogoro uliodumu kwa zaidi ya miaka sita. Akizungumza jana Jumatano Machi Mosi, 2023 baada ya kumaliza kwa vikao vinne vilivyofanyika kwa siku mbili...
  14. JanguKamaJangu

    Mgogoro wa ndoa ya Dkt. Mwaka na mkewe kufikishwa Mahakamani

    Sakata la ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka maarufu Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja, limechukua sura mpya baada ya shauri hilo kutua kwa wanasheria ambao wamepanga kulipeleka mahakamani. Shauri hilo tayari limepita kwenye Baraza la Usuluhishi chini ya Ustawi wa Jamii na wakati wowote...
  15. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Masanja atatua mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Buger na hifadhi ya taifa ziwa Manyara

    NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
  16. Roving Journalist

    CCM yapigwa Stop ujenzi ardhi yenye mgogoro na Kanisa Katoliki

    Na MWANDISHI WETU, KIGOMA MAHAKAMA Kuu Kanda ya Kigoma, imetoa amri kwa Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na wadaiwa wengine kusitisha shughuli zote katika eneo lenye mgogoro kati yao na Kanisa Katoliki wilayani Uvinza. Amri hiyo ya...
  17. B

    Ukweli kuhusu Mgogoro wa Ardhi Kijiji Namawala Vs Kambenga

    Kambenga aliomba ekari 100 kutoka kijiji akapewa,then akataka ekari 900 zaidi Kwa kutumia hila kudai kuwa amepewa alionyesha muhtasari wa kikao cha CCM cha kata ambacho walihudhuria wajumbe wanane lakini wajumbe saba hawakutia sahihi muhutasari huo. Kambenga hakuwahi kulipa kiasi chochote cha...
  18. Protector

    Wanaopinga ndoa wana matatizo au wamekulia kwenye familia zenye mgogoro

    Kumekuwa na mijadala mingi sana inayowazuia vijana kuoa au kuolewa, kubwa sana ni kukataa kuoa. Hiyo ni kutokana na mfumo wa maisha ya sasa yalivyo. Ndoa nyingi hazidumu na uaminifu ndani ya ndoa umepungua sana kiasi kwamba wanandoa kusalitiana limekuwa jambo la kawaida na ndio sababu ya ndoa...
  19. BARD AI

    Rais Samia aridhia eneo la Magereza kumegwa ili wapewe wananchi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza mgogoro wa ardhi yenye ukubwa wa ekari 7,495.74 uliodumu kwa zaidi ya miongo mitatu kati ya vijiji vya Kata ya Kingale, Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Gereza la King'ang'a. Mgogoro huo umetatuliwa baada ya kiongozi huyo kuagiza eneo lenye ukubwa wa ekari...
  20. D

    Mgogoro wa Lissu na Mbowe, Mzee Edwin Mtei aingilia kati

    Wengi tuliamini kuwa kuondolewa kwa zuio la mikutano ya kisiasa ya hadhara ingekuja na neema na utulivu wa kisiasa lakini hali imekuwa tofauti baada ya viongozi waandamizi Chadema kutofautiana kimtazamo huku kundi moja linaloongozwa na John Heche kutaka Tundu Lissu ndiye awe M/Kiti wa chama na...
Back
Top Bottom