mgogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr mutuu

    Uchambuzi wa mgogoro wa kimkataba kati ya Yanga SC na kampuni ya Sportpesa

    Wasaalam, Kila siku tumekua tukisema hakuna kitu kibaya kama kufanya mikataba ya kisirisiri, tatizo Hili kubwa halipo kwenye mpira tu Bali hata kwenye mikataba ya kiserikali, wananchi ndio tuna dhamana na nchi yetu na ndio walipa Kodi lakini watu wachache wanaingia mikataba au mikopo kisirisiri...
  2. Roving Journalist

    Kigoma: Kisa mgogoro wa ardhi, Kanisa Katoliki laishitaki CCM Mahakamani

    Mgogoro wa ardhi ambao umekuwa ukiendelea kwa muda umesababisha Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma kuamua peleka Mahakamani mashitaka dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Shitaka hilo lililofunguliwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Kigoma, Kanisa limewashtaki Bodi ya Wadhamini wa CCM, Waziri wa...
  3. B

    DOKEZO Mgogoro wa Ardhi, Rushwa yawapofusha Viongozi Wilaya ya Kilombero

    Licha ya yote hayo leo tena Kambenga aendelea kunyang'anya mbegu za wakulima hadi ikatokea vurugu kubwa kijijini Katika hali isiyo ya kawaida viongozi wa wilaya ya Kilombero wamepofushwa macho na familia ya Kambenga katika mgogoro wa ardhi Namawala. Licha ya mkuu wa mkoa aliyepita Martin...
  4. JanguKamaJangu

    Mgogoro wa maslahi ya Wafanyakazi wa Star TV, Radio Free Africa, Kiss FM mambo bado magumu

    Mgogoro baina ya wafanyakazi na uongozi wa Kampuni ya Sahara Media Group Limited hauoneshi dalili za kuisha hivi karibuni baada ya taarifa kuibuka kwamba kampuni hiyo imewasimamisha kazi wafanyakazi kwa madai kwamba hakutakuwa na uzalishaji wa vipindi kupisha maboresho ya kiufundi. Hata hivyo...
  5. Kalebejo

    DOKEZO TAKUKURU Mwanza tupieni macho mgogoro wa ardhi wa Abubakar Self

    VIONGOZI WA KITENGO CHA ARDHI JIJI LA MWANZA LINATUUMIZA WANACHI WALALA HOI Kada wa CCM Abubakar Hassan Self amemuomba Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Kuingilia kati mgogogro wake viwanja na Halmashauri ya Jiji la Mwanza uliodumu kwa miaka 35 kama mgogoro wa Eneo la Rwagasore lilivyotatuliwa...
  6. B

    DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi

    DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro pamoja na viongozi wa kata ya Irisya wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya ikungi Mhe. Ali juma mwanga ambae ni diwani wa irisya wamefanikiwa kuumaliza mgogoro wa ardhi baina ya...
  7. DodomaTZ

    DKT. Slaa: Rais kumuelekeza Mwanasiasa lugha ya kutumia siyo sawa, tunaingia kwenye mgogoro mkubwa

    Kauli ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa kufanyika Video: Jambo TV
  8. Tango73

    Suala la Feisal toto ni mgogoro wa Wachezaji wazawa!

    ' Kila mchezaji mzawa hatakubali Feisal pekee ndiye arekebishiwe kipato huku wote wanakimbiza mpira dk 90! hili swala la feisal limeanzia kwa Stephane Aziz-K kununuliwa kwa bei mbaya na kuwa mchezaji ghali klabuni. Ikumbukwe mama mzazi wa Azizi K ndiye aliyekuwa meneja wake. Leo feisal kudai...
  9. Shushani Ngomeni

    Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro Arusha, wananchi wazidiwa nguvu

    Wana Jamvi Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Tanzania Nimerudi kwa mara nyingine kukumbusha Mamlaka juu ya Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro kijiji kilichopo Wilaya ya Meru Mkoani Arusha. Siandiki kwa faida yangu, wala sina cha kupata isipokuwa furaha ya nafsi hasa pale haki inapotendeka kwa watu...
  10. L

    Hatari za kiusalama zinaweza kuwa bomu linalokaribia kulipuka barani Afrika kutokana na mgogoro kati ya Russia na Ukraine

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema silaha zilizopelekwa katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine zinamiminika kwenye eneo la Sahel barani Afrika kupitia biashara ya magendo, zikichochea nguvu za makundi ya kigaidi na kutishia amani na usalama wa bara hilo. Ametoa wito wa kuharakisha...
  11. JumaKilumbi

    Mgogoro wa Morocco 🇲🇦 na Sahara Magharibi, kisa na mkasa

    Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi). Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
  12. BARD AI

    Kiini cha mgogoro uliosababisha kufutwa vijiji 5 na vitongoji 47 Mbarali

    Oktoba 26, 2022 Serikali ilitangaza uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwemo katika bonde la Ihefu wilayani Mbarali. Uamuzi huo uliotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula ulipokewa kwa utulivu, lakini kwa hisia tofauti. Katika...
  13. Mganguzi

    Tundu Lissu hana mgogoro na utawala, ana mgogoro na chama chake. Hata akirudi hajui atafanya nini

    Huku centre boulevards of Brussels bila shaka hii ni mitaa maarufu ambako Lissu anapendelea zaidi kutembelea! Au Kama yupo nje na Brussels huko Antwerp au Le ROI centre hawezi kukumbuka tena kurudi kwenye siasa za Tanzania. Miezi michache nyuma kilio Cha tundu Lissu ilikuwa ni kulipwa stahiki...
  14. mkalamo

    INDIA yachagua amani mzozo wa Ukraine

    Na Yoshita Singh HUKU mzozo wa Ukraine ukiendelea kwa miezi kadhaa, siku ya Jumamosi lndia ililiambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba iko upande wa amani na upande unaotaka mazungumzo na diplomasia ndio njia pekee ya kutokea. Mzozo wa Ukraine unapoendelea kupamba moto, mara nyingi...
  15. N

    Hili la Aloyce Nyanda kuanzisha mazungumzo ya mgogoro wa Ethiopia na Misri akiwa na balozi wa Ethiopia tu limekaaje kidiplomasia wadau?

    Habarini! Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa! Kwenye hoja; Ni huyu mngazaji wa star TV, aloyce nyanda, namuona leo akiwa na balozi (kama sikosei) wa Ethiopia katika kipindi chake...
  16. P

    Aliyeanzisha uzi wa “Yanayojiri mgogoro wa Ukraine na Russia” yupo hai au vita vimeondoka naye maana hakuna updates

    Mada yangu hii, imekaa Kwa mtindo wa swali, Nauliza tuu, na kama yupo, Mingy ampe maisha marefu zaidi, Imekuwa ni muda mrefu sasa tokea Julay huko hajawahi tena kuapdate tarifa ya Uzi wake Mimi kila nikiingia Jukwaan, lazima nianze kusoma Uzi wake kwanza, maana huwa ninaamini kuwa yeye ndiye...
  17. Mathanzua

    Putin ashinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya: CEO wa kampuni ya mambo ya uchumi Ulaya asema Ulaya inaelekea kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi

    Hatimaye Putin ameshinda Vita ya kiuchumi kati yake na Ulaya.C.E.O wa kampuni kubwa kabisa ya mambo ya uchumi Ulaya asema,"Ulaya hatimaye inaelekea katika mgogoro wa kibenki, kuanguka kwa viwanda, kaya na uchumi.Hii ni katika "wiki chache tu zijazo" amesema. 07 SEPTEMBA 2022  Tuomas Malinen...
  18. Replica

    Mkurugenzi wa Shell: Mgogoro wa nishati utakuwa kipimo cha umoja wanachama EU. Bei yapanda mara 30(3,000%)

    Mkurugenzi wa Shell, Ben Van Beurden ameitahadharisha Ulaya inaweza kuhitaji kugawanya nishati kwa miaka kadhaa kwani mgogoro uliopo una kila dalili ya kudumu zaidi ya kipindi kimoja cha baridi. Maoni ya Mkurugenzi huyo anaeongoza kampuni kubwa zaidi barani Ulaya ya mafuta na gesi yanafatia...
  19. Mathanzua

    Yanayotokea katika mgogoro wa Taiwan, China na Marekani. Chanzo na hatima ya mgogoro

    Kwa mara nyingine tena Marekani imetuma wajumbe wa Baraza la Congress kwa ndege ya kijeshi hadi Taiwan tarehe 14 Agosti 2022. Kwa kitendo hiki,Marekani inafanya uchokozi wa wazi kwa China. Ujumbe huu mwingine wa Bunge la Congress ulikwenda Taiwan kwa kutumia ndege ya kijeshi, moja kwa...
  20. R

    Ziara ya Rais Tanga; Rais Samia ingilia mgogoro wa ardhi shamba la kilapula (Geiglizy farm)

    Enzi za magufuli alitoa ardhi kwa wanaomiliki ardhi katika shamba tajwa. Aliosema kuwa hata eka 5 wapewe bure. Leo hii Mkurugenzi wa Muheza anawatoza wananchi kulipia ardhi kinyume na tamko la Maguuli. Kuna dhuluma kubwa, tunaomba uingilie kati.
Back
Top Bottom