Magonjwa ni sehemu ya maisha ya binadamu. Yanaweza kuwa muendelezo wa magonjwa ya muda mrefu, ajali kama stroke au kugongwa na Gari. Inaweza kutokea kwa mume/mke, Baba/mama au mtoto wako. Si wengi wenye uwezo wa kulipa mtu mwenye taaluma na ujuzi wa kumtunza mgonjwa. Nimeamua kuandika uzi huu...