michezo

  1. Watangazaji wa Michezo Redioni mbona leo hamchangamki kama mlivyokuwa mkichangamka kabla ya Mechi ya Yanga SC na USM Alger FC ya leo?

    Halafu mlivyo wa hovyo badala ya Kuitangaza vyema kwa kusema kuwa Yanga SC imefungwa Kiuwezo mnachokifanya sasa ni kutafuta Wasikilizaji wenye Uyanga na kuwalazimisha waseme kuwa Yanga SC itaenda kupindua Matokeo / Meza Jijini Algiers nchini Algeria kwa Kuwafunga USM Alger FC na kuwa Mabingwa wa...
  2. Tanzania kuna wachambuzi wa michezo ila...

    Ila zaidi ya redio hakuna majukwaa mengine ambapo unaweza kutembelea na kupata taarifa za kimichezo (hasa soka) kwa wakati na za kutosheleza. Nakumbuka enzi hizo alianza Dr Leakey tukimsikiliza kipindi cha kombe la dunia - 1994 to 1998. Kipindi hicho ni yeye alitamba kwenye uchambuzoi wa soka...
  3. J

    Haydom marathon 2023 kuchangia matibabu kaya masikini

    Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi. Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
  4. P

    SoC03 Utawala Bora kupitia Michezo

    Michezo ina jukumu muhimu katika kuchangia utawala bora kwa njia kadhaa. Hapa chini ni baadhi ya mchango wa michezo katika utawala bora: Kukuza maadili na uwajibikaji: Michezo inajenga maadili kama ushirikiano, haki, nidhamu, uwazi, na uwajibikaji. Kupitia michezo, watu wanajifunza umuhimu wa...
  5. Hali ni tete kipindi cha EFM michezo

    Baada ya jana Yanga kushinda south Afrika imezua taharuki kwenye kipindi cha EFM ambacho pundit wote waliitabiria Yanga kupigwa kipigo cha mbwa mwizi south afrika Swali ni kwamba wataongea nin???? Kwenye maisha tukubali kuwa na akiba ya maneno bin kazumari, geof leah hakuna aliyetweet chochote...
  6. A

    SoC03 Andiko kuhusiana na michezo

    Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya michezo katika nchi yoyote ile. Michezo ina jukumu kubwa katika kuunganisha jamii na kuleta maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kiakili. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji katika michezo bado ni...
  7. Hongera Azam kwa kuanza kuonesha Ligi ya Kenya mtafika mbali. Commentator awe na lafudhi yao kama DJ Afro

    Sote tunajua juhudi zinazofanywa/zilizofanywa na Azam kwa ujumla. Nipo nchini burundi kisumbusi chao pendwa ni Azam na sasa Azam imeingia Kenya kwa Ruto kwa kasi ya ajabu. Ligi ya Kenya ni nzuri sana tena pengine zaidi ya NBC PL kama watapata muamko wa kushabikia team zao naamini watatuacha...
  8. SoC03 Kizungumkuti Wizara Michezo na utengaji bajeti ya ukarabati wa viwanja vya Michezo vinavyomilikiwa na chama

    KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
  9. Rais Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania. Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
  10. B

    Rais Samia awakaribisha nchini Mawaziri wa michezo wa nchi 14

    Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Mei 04, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ni mgeni rasmi na atafungua mkutano wa Mawaziri wa Michezo wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya 4 ambapo Mawaziri 14 kutoka Nchi za Comoro, Mauritius, Sudan, Somalia...
  11. TFF wasogeza mbele mchezo wa SBS vs Yanga na Azam vs Simba

    Soma barua ya TFF ====== Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki. Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani...
  12. TANESCO: Hatuhusiki na kukatika umeme kwa Mkapa. Alaumiwe waziri wa Utamaduni na Michezo

  13. Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya michezo kesho

    Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao Endelea na wewe kutiririka
  14. Biashara ya Kubeti Michezo haina tofauti na Biashara ya kuchimba madini

    Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji mtaji mkubwa wa akili (Intelligence); Biashara ya Betting inatumia akili zaidi na inakupasa uwe na...
  15. Ujenzi wa uwanja wa Michezo wa Nyasa Mkoani Ruvuma kuanza hivi Karibuni

    Wananchi na viongozi wao wa Wilaya ya Nyasa wameamua kushirikiana kwa pamoja ili kuhakikisha ujenzi wa uwanja huo wa Michezo unakamilika kwa wakati. Ukanda wa ziwa Nyasa umebarikiwa kuwa na vipaji vya kweli vya mpira lakini wanakosa daraja la kupitia kwa hoja ya kuendelezwa.
  16. Aprili 6: Siku ya Kimataifa ya Michezo

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Michezo kwa Maendeleo na Amani ni fursa ya kutambua mchango chanya wa Michezo katika Jamii na Maisha yetu Michezo ina nguvu ya kuimarisha uhusiano katika Jamii, na kukuza Maendeleo endelevu, Amani pamoja na mshikamano wa watu wote Mbali na Michezo kuwa na...
  17. Kwenye chaki leo (Bitter Truth)

    Habarini Wananchi wote wa JF..! Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza.. Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya...
  18. Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  19. Ufuatao ndiyo mtiriroko wangu mzima wa Matumizi ya Fedha Nono ya Ushindi wa Jukwaa la Michezo JamiiForums

    1. Nitahesabu idadi ya Moderators wote wataokuwepo Ofisini Siku nitakayoenda Kuchukua Zawadi yangu na Wote watakunywa Soda Mpya, Tamu na niipendayo ya Super Commando kutoka Kampuni ya Pepsi. 2. Nitamtolea Mungu (siyo Mungu wa Mwamposa) Sadaka yake ama kwa kuitoa Kanisani au kuwapa Zawadi Watoto...
  20. Rais Samia ametufutia laana ya kichwa cha mwendawazimu kwenye michezo

    Timu zetu zilikuwa hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya Kimataifa. Vilabu na timu za taifa zilikuwa zinafungwa na hata vinchi vidogo na vyenye vurugu kila siku kama Burundi na Rwanda. Hii ilimfanya Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzifananisha timu zetu na kichwa cha mwendawazimu ambacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…