Habari wakuu,
kuna wazo moja nimepata la kuweka haya madude ya wachina kwenye moja ya frame nilionayo, nataka kuanzisha haya ma bonanza kidogo walau paweze kuchangamka maana pamedorora kweli. Kwa anayejua faida yake na hasara zake, na kama kuna changamoto tofauti na wateja pia naomba kujua...