Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
U-live kuna watangazaji wastaarabu. Wachambuzi bora kabisa.
Na habari zao ni za uhakika.
Wana programs zimetulia, wameweka standards zao za sponsors wa kipindi chao. Matangazo hayaboi ni machache lakini hayaharibu ladha ya kipindi.